Lodge /Guest house natakiwa kukaa saa ngapi kulipia fedha kamili?

Lodge /Guest house natakiwa kukaa saa ngapi kulipia fedha kamili?

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
798
Husika hapo juu, mathalani nimeingia lodge usiku wa saa 8 hivi, je kisheria natakiwa kutoka baada ya masaa mangapi!?
Wazee wa totoz hawa wenye lodge nahisi wanatuonea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah! Kuna siku niliingia saa tisa usiku, na mhudumu bila hiyana akanipiga bei kamili.

Niliisikitikia ile pesa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi sasa hivi ndo niko hapa na mchuchu wangu Eda....

83568512-0F1F-43A3-838A-C1A3FA03E080.jpeg
 
Hii siyo ya pale Sinza karibu na Mugabe Primary School na City Styles?

Hapana.

Hapo ni karibu na flats za CRDB za zamani ambazo baadaye zilikuja kugeuzwa Kuwa dormitories za UDSM. Ukiwa kwenye hiyo barabara ukipanda juu kidogo unatokezea Meeda.

Ukishuka chini unatokea kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God pale Mwenge na spitali ile ya Mama Ngoma.

Shule ya msingi iliyo karibu maeneo hayo ni Mapambano.

Daladala hazipiti kabisa hapo.
 
Ha ha misosi unaagiza kwa order tu wanakupikia,Hivi bado ni Tsh 20000 au imepanda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh!

Ushawahi kwenda kula mzigo nini hapo?

Manake hiyo loji ni maarufu kwa hilo tu.

Mkuu Nyani biashara ya loji wateja wakubwa huwa ni wazinzifu tu sio wageni. Ndio maana loji nyingi zinajaa mchana halafu usiku zinakua tupu.

Back to topic, wahudumu hua wanachaji full package ili wapige hiyo hela. Ukiwa unamiliki loji kama hauko makini wahudumu wanapiga sana hela za wateja wanaoingia mchana na kutoka jioni kisha wanasafisha room vizuri ukija unaambiwa leo hakuna kitu.. Ndio maana loji nyingi ukiingia saa nne ukakomaa mpaka kesho yake unanuniwa balaa 😀
 
Hapana.

Hapo ni karibu na flats za CRDB za zamani ambazo baadaye zilikuja kugeuzwa Kuwa dormitories za UDSM. Ukiwa kwenye hiyo barabara ukipanda juu kidogo unatokezea Meeda.

Ukishuka chini unatokea kwenye kanisa la Tanzania Assemblies of God pale Mwenge na spitali ile ya Mama Ngoma.

Shule ya msingi iliyo karibu maeneo hayo ni Mapambano.

Daladala hazipiti kabisa hapo.
Got you.
Nimeshaikumbuka ukitokea Meeda kwenda Mwenge unapita kuna Bar fulani miaka ya 80 ilikua inaitwa Matokeo Bar.
 
Sheria ingetizama hili swala mi jana nmechelewa kutoka shamba ifakara nikaunga unga vi NOAH hadi nkafika mikumi.Pale mikumi nkapata roli hadi moro nimeingia saa 8 usiku Ikabid nchukue gest pale mitaa ya ipo ipo bar lakn muhudum kanichaj ile ile pesa.Na asubuhi nkagongewa mda umeisha ikabid niamke tu bado nna usingizi na uchovu nkakogoa nkaenda zangu msamvu stendi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Nyani biashara ya loji wateja wakubwa huwa ni wazinzifu tu sio wageni. Ndio maana loji nyingi zinajaa mchana halafu usiku zinakua tupu.

Back to topic, wahudumu hua wanachaji full package ili wapige hiyo hela. Ukiwa unamiliki loji kama hauko makini wahudumu wanapiga sana hela za wateja wanaoingia mchana na kutoka jioni kisha wanasafisha room vizuri ukija unaambiwa leo hakuna kitu.. Ndio maana loji nyingi ukiingia saa nne ukakomaa mpaka kesho yake unanuniwa balaa [emoji3]
Ina maana mtu amiliki Lodge ashindwe hata kumiliki CCTV camera!huu si ulofa uliotukuka!

Sent by Diaspora
 
Ndio moja ya umakini ninaozungumzia. loji nyingi za mtaani hazina cctv wala nini

CCTV za nini kwenye loji hapa bongo?

Mnataka watu na michepuko yao warekodiwe? Hakuna hiyo.

Halafu, hata ambapo kuna kamera, mara 9 kati ya 10 hizo kamera huwa hazifanyi kazi.
 
Back
Top Bottom