lodge/ hotel moshi

lodge/ hotel moshi

young j

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
58
Reaction score
17
habarini wanajamvi, Nasafari ya siku 3 mjini moshi, kwa wenyeji wa mji huo naombeni kufahamishwa sehemu za malazi(lodge/hotel) za bei nafauu kuanzia Tshs. 20000 hadi 30000. Asanten
 
nenda kushoto, nyoosha na hiyo njia mbele ako moja kwa moja utaona geti jeusi then kata kulia.
 
Shuka stendi hapo,mwite boda mwambie akupeleke kwenye lodge isiyozidi 30000, unampa buku anakufikisha salama,Nenda kama unaenda Mbuyuni kushoto kwako kuna lodge za kutosha tu,kindoroko,kuna buffalo n.k

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom