Lodge / Hotel nzuri Mwanza

Lodge / Hotel nzuri Mwanza

Tuelimishanee

Member
Joined
May 23, 2018
Posts
20
Reaction score
18
Wadau wa JF naomba kuhulizia Lodge / Gest house nzuri ambayo inapatikana Maeneo ya Nyegezi au karibia hayo maeneo ni ipi?? Ambayo bei zake ni nafuu

Msaada tafadhali itapendeza ukinitajia jina na mawasiliano tafadhali.
 
Bei nafuu kwako kwa mwingine bei ghalii... Iweke kwenye figure hiyo bei nafuu yako.
 
Nyegezi Apo magari ya wateja Kama we yamejaa na yameandikwa lodge husika yanakuchukua stend Apo mpka kwenye lodge.
 
Back
Top Bottom