Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

officialBossmtoto

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2019
Posts
370
Reaction score
1,189
Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge)
Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua wapate mwongozo wa wapi pazuri pa kwenda kufanya unyamaaa.

1) Kitowo Lodge -30,000/-
Hii ipo riverside, oposite na boss kalewa kuna njia inaingia ndani kidooogo. Gharama yake ni 30,000/- maji ya moto yapo ila mpaka uombe wakuwashie. Parking ipo kubwa ila kama unapiga na kutoka paki nje maana unaweza zuiwa na mwenzako.

Wanatabia ya kuweka Biblia vyumbani sijui ni kwa sababu gani [emoji23]. Kama pia huna Mchumba fika pale mida ya saa mbili usiku utaokota toto la kwenda pale pale riverside.



2) UNIVERSAL EXECUTIVE INN
Hii iko kijotonyama/sinza. Zamani ilipokua ofisi (HQ) za wasafi. Hii ni 40,000/- ila uzuri wake ni kwamba ukishaingia ndani ni umejitenga na jamii [emoji4]. Kuko very peaceful na kuna kautulivu flani ivi.
Vitanda vizuri na mapokezi mazuri. Wana Bar yao humo humo ndani (ndogo lakini)



3)Atlantic Lodge 20,000
Hii iko karibu sana na namba mbili. Hii haina mambo Mengi. Ilo mtaani kabisa kwa hio mbinu ya kuingia mmoja mmoja kama hamna magari ni muhimu sana. Ndani pia ni pa kawaida sana hapana amsha amsha zozote.

Kiufupi hii ni chaguo la haraka kama ukikuta namba 2 imejaa.


4)PATAYA GUEST HOUSE (40,000) MIKOCHENI
Hii ina bei sababu ya eneo ila haina maajabu yoyote ila kwa status kama umepata kitoto kinataka status kikiskia mikocheni kinaweza data [emoji23] akiingia ndani ndo anashangaa heee bora sinza. Cha muhimu lengo litimie.




5) Home Alone 30,000 Kinondoni Vijana
Hapa napo pamekaa kimtego sana ila ukishaingia ndani ni Burudani. Pametulia na pana mazingira rafiki (kwa ndani) hapa parking ipo ila sio rafiki sana. Ukiingia wa kwanza omba asiingie mwenzako maana kutoka kwako wewe mpaka yeye amalize [emoji1787]


6)New Langata Lodge (home aloneB) 30,000 American Chips
Hii iko kinondoni American Chips. Hii inabebwa sana na ile Home alone ya kwanza. Hii mara nyingi ukikuta home alone pale juu pamejaa wanakudirect huku. Sio pazuri sanaa na mazingira sio rafiki (nje) kuna kelele kiasi ila ndani panaruhusu game kuchezeka hamna shida.



7)Nefaland Hotel 50,000- 200,000
Hapa unavuna point kama zote [emoji2]. Ukiingia pale ndani mkalishe kwenye kiti afu wewe kaongee na muhudumu [emoji3]. Lipia 50,000 yako alafu mwambie hapa 150,000 tuu sio ghali [emoji2].
Ipo pale Manzese Argentina kituoni kabisa mwendokasi.
Oya hapa ni unyama huduma rafiki sana na pana utulivo uliopitiliza. Hutajutia kabisa.


Kuna mdau kaja inbox na picha za eneo hili. Na anasema yuko hapo mida hii. Kama una swali unaweza muuliza.

8)Blue Bird sinza 50,000
Hii nayo nisiseme mengi. Ni hoteli ya kuvunia point. Usipeleke Mal***a. Ushauri, maeneo kama haya peleka binti unaetaka kuvuna point, usipeleke mal**a ni kupoteza rasilimali.


Kwa hisani ya mdau [mention]MENEMENE TEKERI NA PERESI [/mention] uzi unaendelea maeneo haya hapa zaidi [emoji16]

 

Haya mwenye machimbo aongezee hapo
 
kaka nimekuvulia kofia,huu ni uzi bora sana
 
Nefalanda hotel friends kona manzese, ni elfu ishirini na tano chumba ila unapata royal treatment

Hapa nefaland napo nilikua napaweka kwenye List. Kuna mpaka lift. Mara ya mwisho kwenda hapo ilikua 2019 nilikua na toto moja ya kiRwanda nikaona wacha nijilipue. Nikaandaa kama 150,000 nikafika pale nikaambiwa ni 65,000 chumba. [emoji122][emoji122]. Niliagiza na samaki mkubwa sana. Dada aliniona Tycooon
 
Mwenye kujua Pataya Guest ya Riverside Bei zile room kubwa sasa hivi sh ngapi au Bei zao sasa zikoje? Dadeki kuna lodge raha sana, miaka hio nililala Masasi, UK Lodge vitanda vyake dadeki nlikutana na mmakonde mnyonya pumbu acha mmakonde abaki mmakonde. Shukrani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…