Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Mwenye kujua Pataya Guest ya Riverside Bei zile room kubwa sasa hivi sh ngapi au Bei zao sasa zikoje? Dadeki kuna lodge raha sana, miaka hio nililala Masasi, UK Lodge vitanda vyake dadeki nlikutana na mmakonde mnyonya pumbu acha mmakonde abaki mmakonde. Shukrani
Huyo mmakonde vp namba yke hauna mkuu bdo yupo hai, niunganishe nae bc
 
Sasa boss ulienda hapo na huna uhakika? Sku ingine ukifika maeneo hayo na huna uhakika lipia alafu toka, ingia sinza mitaa okota maembe yapo kibao. Ila fungia vitu vya thaman kwenye safe.
Soma vizuri
Uhakika ulikuepo kwa hisani ya NIMR
asubuh alidamka kuwahi home then job.
Sasa breakfast nipo pekeangu, sauti ya jikoni ikanikosha.
 
Hapo Blue bird jumamoc ntazama na toto la kihindi km vp nijivunie point mkuu, umenipa wazo zuri sn [emoji39]
daah watu mna roho ngum aisee, mhindi na flat skrini zao zile!? haya bana kila lakheri
mm bana hata hawa dada zetu wa kiswahili nikishaona ametupia maguo mengimengi mgongo siusomi vizuri nakaa nao mbali sana km mafuta na kiberiti aisee
 
Niliendaga kulala Landmark Hotel pale Riverside. Nikalipia 70,000/= a night.

Baada ya kufanya mapenzi na demu wangu, tukala msosi nikamsindikiza. Nikarudi room kumalizia hela yangu.

Nilijutia sana. Hela yangu iliniuma.
70k parefu mkuu sikupingi, lodge zpo Kali zenye bei ya kawaida tu ba location nzuuuri from 10-25k mbn

Tuache mbwembwe kwenye starehe ya siku moja jmn vjana
 
daah watu mna roho ngum aisee, mhindi na flat skrini zao zile!? haya bana kila lakheri
mm bana hata hawa dada zetu wa kiswahili nikishaona ametupia maguo mengimengi mgongo siusomi vizuri nakaa nao mbali sana km mafuta na kiberiti aisee
Haha nasafisha nyota mkuu, na mm niwe na historia ya Kula Asian babe [emoji3]
 
Kaka najua unajua yoyote hata moja [emoji2] ongeza hapo kwenye list
Mimi najua za kulala sio za kuzinia.
Eg. Azania sinza kwaremi
Lantana, kwa remi, Riseth inn nyuma ya Lantana, Mambosasa, Shamool, Wanyama, Rungwe, KingDavid hizo ndio zangu za kulala...bei zote zinaanzia 50k isipokuwa Riseth inn ni 30k nako kazuri sana.

Hizi zote za 50k hutojutia
 
Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge)
Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua wapate mwongozo wa wapi pazuri pa kwenda kufanya unyamaaa.

1) Kitowo Lodge -30,000/-
Hii ipo riverside, oposite na boss kalewa kuna njia inaingia ndani kidooogo. Gharama yake ni 30,000/- maji ya moto yapo ila mpaka uombe wakuwashie. Parking ipo kubwa ila kama unapiga na kutoka paki nje maana unaweza zuiwa na mwenzako.
Wanatabia ya kuweka Biblia vyumbani sijui ni kwa sababu gani [emoji23]. Kama pia huna Mchumba fika pale mida ya saa mbili usiku utaokota toto la kwenda pale pale riverside.

View attachment 2746613

2) UNIVERSAL EXECUTIVE INN
Hii iko kijotonyama/sinza. Zamani ilipokua ofisi (HQ) za wasafi. Hii ni 40,000/- ila uzuri wake ni kwamba ukishaingia ndani ni umejitenga na jamii [emoji4]. Kuko very peaceful na kuna kautulivu flani ivi.
Vitanda vizuri na mapokezi mazuri. Wana Bar yao humo humo ndani (ndogo lakini )

View attachment 2746616

3)Atlantic Lodge 20,000
Hii iko karibu sana na namba mbili. Hii haina mambo Mengi. Ilo mtaani kabisa kwa hio mbinu ya kuingia mmoja mmoja kama hamna magari ni muhimu sana. Ndani pia ni pa kawaida sana hapana amsha amsha zozote.

Kiufupi hii ni chaguo la haraka kama ukikuta namba 2 imejaa.
View attachment 2746625

4)PATAYA GUEST HOUSE (40,000) MIKOCHENI
Hii ina bei sababu ya eneo ila haina maajabu yoyote ila kwa status kama umepata kitoto kinataka status kikiskia mikocheni kinaweza data [emoji23] akiingia ndani ndo anashangaa heee bora sinza. Cha muhimu lengo litimie.
View attachment 2746633

5) Home Alone 30,000 Kinondoni Vijana
Hapa napo pamekaa kimtego sana ila ukishaingia ndani ni Burudani. Pametulia na pana mazingira rafiki (kwa ndani) hapa parking ipo ila sio rafiki sana. Ukiingia wa kwanza omba asiingie mwenzako maana kutoka kwako wewe mpaka yeye amalize [emoji1787]
View attachment 2746649

6)New Langata Lodge (home aloneB) 30,000 American Chips
Hii iko kinondoni American Chips. Hii inabebwa sana na ile Home alone ya kwanza. Hii mara nyingi ukikuta home alone pale juu pamejaa wanakudirect huku. Sio pazuri sanaa na mazingira sio rafiki (nje) kuna kelele kiasi ila ndani panaruhusu game kuchezeka hamna shida.
View attachment 2746648

7)Nefaland Hotel 50,000- 200,000

Hapa unavuna point kama zote [emoji2]. Ukiingia pale ndani mkalishe kwenye kiti afu wewe kaongee na muhudumu [emoji3]. Lipia 50,000 yako alafu mwambie hapa 150,000 tuu sio ghali [emoji2].
Ipo pale Manzese Argentina kituoni kabisa mwendokasi.
Oya hapa ni unyama huduma rafiki sana na pana utulivo uliopitiliza. Hutajutia kabisa.
View attachment 2746655

8)Blue Bird sinza 50,000
Hii nayo nisiseme mengi. Ni hoteli ya kuvunia point. Usipeleke Mal***a. Ushauri, maeneo kama haya peleka binti unaetaka kuvuna point, usipeleke mal**a ni kupoteza rasilimali.

View attachment 2746665
Mkuu Kuna jamaa huko kakuita busy devil 👿😈

😅😅😂😂😂
 
daah watu mna roho ngum aisee, mhindi na flat skrini zao zile!? haya bana kila lakheri
mm bana hata hawa dada zetu wa kiswahili nikishaona ametupia maguo mengimengi mgongo siusomi vizuri nakaa nao mbali sana km mafuta na kiberiti aisee
Mkuu watu tuko tofauti mm binafsi demu kama hana chura sitakagi kujua hata jina lake[emoji23]....kuna mwamba mmoja hv yeye anapenda mtindi yaan kosa vyote lakn sio mtindi mkubwa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge)
Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua wapate mwongozo wa wapi pazuri pa kwenda kufanya unyamaaa.

1) Kitowo Lodge -30,000/-
Hii ipo riverside, oposite na boss kalewa kuna njia inaingia ndani kidooogo. Gharama yake ni 30,000/- maji ya moto yapo ila mpaka uombe wakuwashie. Parking ipo kubwa ila kama unapiga na kutoka paki nje maana unaweza zuiwa na mwenzako.
Wanatabia ya kuweka Biblia vyumbani sijui ni kwa sababu gani [emoji23]. Kama pia huna Mchumba fika pale mida ya saa mbili usiku utaokota toto la kwenda pale pale riverside.

View attachment 2746613

2) UNIVERSAL EXECUTIVE INN
Hii iko kijotonyama/sinza. Zamani ilipokua ofisi (HQ) za wasafi. Hii ni 40,000/- ila uzuri wake ni kwamba ukishaingia ndani ni umejitenga na jamii [emoji4]. Kuko very peaceful na kuna kautulivu flani ivi.
Vitanda vizuri na mapokezi mazuri. Wana Bar yao humo humo ndani (ndogo lakini )

View attachment 2746616

3)Atlantic Lodge 20,000
Hii iko karibu sana na namba mbili. Hii haina mambo Mengi. Ilo mtaani kabisa kwa hio mbinu ya kuingia mmoja mmoja kama hamna magari ni muhimu sana. Ndani pia ni pa kawaida sana hapana amsha amsha zozote.

Kiufupi hii ni chaguo la haraka kama ukikuta namba 2 imejaa.
View attachment 2746625

4)PATAYA GUEST HOUSE (40,000) MIKOCHENI
Hii ina bei sababu ya eneo ila haina maajabu yoyote ila kwa status kama umepata kitoto kinataka status kikiskia mikocheni kinaweza data [emoji23] akiingia ndani ndo anashangaa heee bora sinza. Cha muhimu lengo litimie.
View attachment 2746633

5) Home Alone 30,000 Kinondoni Vijana
Hapa napo pamekaa kimtego sana ila ukishaingia ndani ni Burudani. Pametulia na pana mazingira rafiki (kwa ndani) hapa parking ipo ila sio rafiki sana. Ukiingia wa kwanza omba asiingie mwenzako maana kutoka kwako wewe mpaka yeye amalize [emoji1787]
View attachment 2746649

6)New Langata Lodge (home aloneB) 30,000 American Chips
Hii iko kinondoni American Chips. Hii inabebwa sana na ile Home alone ya kwanza. Hii mara nyingi ukikuta home alone pale juu pamejaa wanakudirect huku. Sio pazuri sanaa na mazingira sio rafiki (nje) kuna kelele kiasi ila ndani panaruhusu game kuchezeka hamna shida.
View attachment 2746648

7)Nefaland Hotel 50,000- 200,000

Hapa unavuna point kama zote [emoji2]. Ukiingia pale ndani mkalishe kwenye kiti afu wewe kaongee na muhudumu [emoji3]. Lipia 50,000 yako alafu mwambie hapa 150,000 tuu sio ghali [emoji2].
Ipo pale Manzese Argentina kituoni kabisa mwendokasi.
Oya hapa ni unyama huduma rafiki sana na pana utulivo uliopitiliza. Hutajutia kabisa.
View attachment 2746655

8)Blue Bird sinza 50,000
Hii nayo nisiseme mengi. Ni hoteli ya kuvunia point. Usipeleke Mal***a. Ushauri, maeneo kama haya peleka binti unaetaka kuvuna point, usipeleke mal**a ni kupoteza rasilimali.

View attachment 2746665
🤣Haya mambo ila
 
Dah officialBossmtoto itoshe kusema wewe ni mhuni mwenzangu .

Nimejikuta machozi yamenilenga maana hakuna lodge uliyotaja ambayo sijalala mwisho nimeona kuwa sina sababu ya kuendelea na anasa za dunia .

Ikiwa kuna mtu unajihisi unamtumikia Mungu katika roho na kweli nakuomba njoo niokoe mimi malaya niliyekubuhu

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile
 
Back
Top Bottom