Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Aisee wapi kuna breakfast kali? Maana muhimu kurudisha nishati uliyopotea usiku mzima
 
Kumbe hii blue bird ipo karibu kabisa na mlimani city...aisee unavuta pisi pale samaki samaki inagomga savannah alafu unaenda igaragaza 🤣🤣🤣🤣
 
Niliendaga kulala Landmark Hotel pale Riverside. Nikalipia 70,000/= a night.

Baada ya kufanya mapenzi na demu wangu, tukala msosi nikamsindikiza. Nikarudi room kumalizia hela yangu.

Nilijutia sana. Hela yangu iliniuma.
 
Kumbe hii blue bird ipo karibu kabisa na mlimani city...aisee unavuta pisi pale samaki samaki inagomga savannah alafu unaenda igaragaza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kaka ukifika pale pisi inavua nguo yenyewe. Yaani na saluti anapiga maana vitanda ni vikubwa hamna bafuni mkiingia kuoga unapiga kingine cha mkwezi yaani ukitoka hela yako imelika ipasavyooooo
 
Niliendaga kulala Landmark Hotel pale Riverside. Nikalipia 70,000/= a night.

Baada ya kufanya mapenzi na demu wangu, tukala msosi nikamsindikiza. Nikarudi room kumalizia hela yangu.

Nilijutia sana. Hela yangu iliniuma.

Kaka sehem kama hizi unachukua mali ya kulala. Hakikisha unaitumia hela yako ipasavyo [emoji122][emoji122][emoji122]. Ukiwasha maji unaacha yachuruzike kama nusu saa ivi.

Kama kipengele kikigoma kulala ingia mtandaoni download kingine fastaa tuu [emoji16]
 
Hapo Blue Bird nilitandika chuma moja ya NIMR. Mambo yalikua swafi kabisa.

Ila walinipiga 60,000.

Halafu wajanja sana, ukipiga simu jikoni anapokea mdada sauti matata anakubebisha kabisa, unasema yeess ngoja alete msosi nimpange. Chakula kinaletwa na mbaba mtu mzima kweli kweli. Halafu hacheki
 
Hapo Blue bird jumamoc ntazama na toto la kihindi km vp nijivunie point mkuu, umenipa wazo zuri sn [emoji39]
 

Sasa boss ulienda hapo na huna uhakika? Sku ingine ukifika maeneo hayo na huna uhakika lipia alafu toka, ingia sinza mitaa okota maembe yapo kibao. Ila fungia vitu vya thaman kwenye safe.
 
Kwa wale msiotaka shida njooni njia ya mpiji magohe kutokea mbezi Lodge zpo Kali na utulivu wa kutosha km upo mbele vile, bei zao simple na huduma ni za uhakika 100℅

Sasa kuna moja hii mpyaa ipo Freetown mbele kidg na kituo cha kwa mpogoro hii nayo imekaa kiunyama sn yan km upo mbuga za wanyama adventurous
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…