Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Blue bird au namnani,kitambo Mwaka 2001 ilikuwa chimbo langu,kipindi iko bei 12000.
 
Kama ilikua 2017 nakuhakikishia mpaka leo hapajawahi kupigwa hata rangi au kukarabatiwa vitanda, na masink pamoja na tiles vishaanza kuchuja.

Katika kitu kama Watanzania tunafeli ni maintenance.
 

Kaka hawa wanawake hawana shukurani [emoji23][emoji23]. Yaani na kumlaza sehemu safi ivo anakwambukiza UTI? [emoji23]


Ukute kwao mazingira ya choo bado sio rafiki ila akitoka barabarani anajibrand.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…