Lodge kali kwa bei rafiki jijini Dar es Salaam

Hapo kwenye parking system yao ya parking sio rafiki japo ni kubwa. Sasa mtu mwenye Genye akiingia hawazi apaki vipi ili wewe wa mbele utoke vizuri [emoji23]. Anaweza kuacha hata gari getini shida sasa ni wewe unapotaka kutoka.

Hapo kuna mtu alivhapwa gari mwakajuzi!
 
Kwa sisi wala ngada ni hotel gan haina shida kbsa ukipewa room apo kuvuta ngada ni ruhusa

Kwa sisi tunaokuja dar kufanya kaz inaturazimu tukodi apartment nzima ili mradi tu uwe huru kula ngada
 

Hapo Home Alone Lodge ni hatari! Kuna mtu alichapwa gari mwakajuzi wakati yeye akiwa ndani na kimwana akipiga NDIZI! Kwa hiyo wenye magari kuweni macho sana hapo!
 

Hao wanawake wa chomeka-chomoa mbona ni risk sana kwa magonjwa hatari kama ukimwi! Halafu wana ladha gani lakini?
 
Izo za kishua kwa wandugu wa kitonga. Kuna friend lodge iko Sinza vatican pale stand ..room 15k kwa 20k .iyo ya 15k haina Tv tu .tv uta angalia kwenu full kiyoyozi pembeni yake ipo nyingine room ni 30k ni wewe tu, zote kaliii zime tulia room safi
ndio mr devil mwenyewe kajibu.
 
Miaka hiyo ya mahangaiko ya ujana, nilipendelea sana pale Columbus Hotel; mtaa wa Kongo yaani pale unaingia na kutoka na hakuna anayejua.

Mabinti waliokuwa wachumba za watu nishaingia nao sana pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…