mtzmweusi
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 8,658
- 8,994
Duu hapo mic?nakumbuka mara ya mwisho bei ya chini ilikuwa 50k tena ubahatisheYah mkurungwa bei ni imepoa hadi short time nimeambiwa ipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duu hapo mic?nakumbuka mara ya mwisho bei ya chini ilikuwa 50k tena ubahatisheYah mkurungwa bei ni imepoa hadi short time nimeambiwa ipo
Mic kuna short time? Mbona mie nakaaga hapo sijawahi sikia hivyo...ndio chimbo langu la macchinjio....tena hapa siwezi pasahau maana hiv niliokotea hotel hiiYah mkurungwa bei ni imepoa hadi short time nimeambiwa ipo
Bei ya chini ni 40k....unagaragaza warembo vizuri kabisa ghorofani. Tena omba chenye balcony wee usiku wa manane unamuinamisha mrembo kwenye balconyDuu hapo mic?nakumbuka mara ya mwisho bei ya chini ilikuwa 50k tena ubahatishe
Nitumie private mkuu hawa huwa nawakubali sana. Hawana mambo mengiYes. Lakini ni mwanachuo. Level ya degree
Kuna Sparrow lodge kirahisi take their No. 0672 297 877 ipo sinza katika ya Sinza Legho na Madukani! nzuri sana....Kaka najua unajua yoyote hata moja [emoji2] ongeza hapo kwenye list
Taja locationUniversal Executive Inn ndio sehemu bora kabisa katika hizo zote umetaja. Pako poa sana, bei rafiki na usalama wa kutosha. Chimbo langu la uhakika kila nikifika mjini Daslam
Hapo kwenye parking system yao ya parking sio rafiki japo ni kubwa. Sasa mtu mwenye Genye akiingia hawazi apaki vipi ili wewe wa mbele utoke vizuri [emoji23]. Anaweza kuacha hata gari getini shida sasa ni wewe unapotaka kutoka.
Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge)
Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua wapate mwongozo wa wapi pazuri pa kwenda kufanya unyamaaa.
1) Kitowo Lodge -30,000/-
Hii ipo riverside, oposite na boss kalewa kuna njia inaingia ndani kidooogo. Gharama yake ni 30,000/- maji ya moto yapo ila mpaka uombe wakuwashie. Parking ipo kubwa ila kama unapiga na kutoka paki nje maana unaweza zuiwa na mwenzako.
Wanatabia ya kuweka Biblia vyumbani sijui ni kwa sababu gani [emoji23]. Kama pia huna Mchumba fika pale mida ya saa mbili usiku utaokota toto la kwenda pale pale riverside.
View attachment 2746613
2) UNIVERSAL EXECUTIVE INN
Hii iko kijotonyama/sinza. Zamani ilipokua ofisi (HQ) za wasafi. Hii ni 40,000/- ila uzuri wake ni kwamba ukishaingia ndani ni umejitenga na jamii [emoji4]. Kuko very peaceful na kuna kautulivu flani ivi.
Vitanda vizuri na mapokezi mazuri. Wana Bar yao humo humo ndani (ndogo lakini )
View attachment 2746616
3)Atlantic Lodge 20,000
Hii iko karibu sana na namba mbili. Hii haina mambo Mengi. Ilo mtaani kabisa kwa hio mbinu ya kuingia mmoja mmoja kama hamna magari ni muhimu sana. Ndani pia ni pa kawaida sana hapana amsha amsha zozote.
Kiufupi hii ni chaguo la haraka kama ukikuta namba 2 imejaa.
View attachment 2746625
4)PATAYA GUEST HOUSE (40,000) MIKOCHENI
Hii ina bei sababu ya eneo ila haina maajabu yoyote ila kwa status kama umepata kitoto kinataka status kikiskia mikocheni kinaweza data [emoji23] akiingia ndani ndo anashangaa heee bora sinza. Cha muhimu lengo litimie.
View attachment 2746633
5) Home Alone 30,000 Kinondoni Vijana
Hapa napo pamekaa kimtego sana ila ukishaingia ndani ni Burudani. Pametulia na pana mazingira rafiki (kwa ndani) hapa parking ipo ila sio rafiki sana. Ukiingia wa kwanza omba asiingie mwenzako maana kutoka kwako wewe mpaka yeye amalize [emoji1787]
View attachment 2746649
6)New Langata Lodge (home aloneB) 30,000 American Chips
Hii iko kinondoni American Chips. Hii inabebwa sana na ile Home alone ya kwanza. Hii mara nyingi ukikuta home alone pale juu pamejaa wanakudirect huku. Sio pazuri sanaa na mazingira sio rafiki (nje) kuna kelele kiasi ila ndani panaruhusu game kuchezeka hamna shida.
View attachment 2746648
7)Nefaland Hotel 50,000- 200,000
Hapa unavuna point kama zote [emoji2]. Ukiingia pale ndani mkalishe kwenye kiti afu wewe kaongee na muhudumu [emoji3]. Lipia 50,000 yako alafu mwambie hapa 150,000 tuu sio ghali [emoji2].
Ipo pale Manzese Argentina kituoni kabisa mwendokasi.
Oya hapa ni unyama huduma rafiki sana na pana utulivo uliopitiliza. Hutajutia kabisa.
View attachment 2746655
Kuna mdau kaja inbox na picha za eneo hili. Na anasema yuko hapo mida hii. Kama una swali unaweza muuliza. View attachment 2746768
8)Blue Bird sinza 50,000
Hii nayo nisiseme mengi. Ni hoteli ya kuvunia point. Usipeleke Mal***a. Ushauri, maeneo kama haya peleka binti unaetaka kuvuna point, usipeleke mal**a ni kupoteza rasilimali.
View attachment 2746665
Kwa hisani ya mdau [mention]MENEMENE TEKERI NA PERESI [/mention] uzi unaendelea maeneo haya hapa zaidi [emoji16]

Siajelewa hapaNzuri zaidi wana house-keeping wao ni boy flani hivi pisi sana ,
ndio mr devil mwenyewe kajibu.Izo za kishua kwa wandugu wa kitonga. Kuna friend lodge iko Sinza vatican pale stand ..room 15k kwa 20k .iyo ya 15k haina Tv tu .tv uta angalia kwenu full kiyoyozi pembeni yake ipo nyingine room ni 30k ni wewe tu, zote kaliii zime tulia room safi
cha kwanza jau sana.shida ukishakojoa cha kwanza, ndiyo unaona 40k imeenda na maji
kisuma bar huku ukisindikiza na mbuzi choma hapo jikoni kwa mromboMagomeni pale kuna kiwanja magomeni usalama, unakula bia na babe yako pembeni unabaki kuzama tuu lodge. Panaitwa KISUMA
Chumba 15, 20, 25
Sio blue pearl. hiyo ni MIC hotel. ubungo nkaribu na hostel