MIC hotelKule mbali nyuma ya stendi tuu ukuta ulipoishia , kati na nbc na stendi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MIC hotelKule mbali nyuma ya stendi tuu ukuta ulipoishia , kati na nbc na stendi
Pole sana mkuu Hilo tunda la katikati ni noma HIV sio mwisho wa maisha....Mic kuna short time? Mbona mie nakaaga hapo sijawahi sikia hivyo...ndio chimbo langu la macchinjio....tena hapa siwezi pasahau maana hiv niliokotea hotel hii
Yaani hii ni moja kwa moja tola kwenye kiti cha enzi cha Mr. Devil mwenyewe? Kaikubali kazi ya wajumbe wake ndio maana kaja direct kutoa maconnectionndio mr devil mwenyewe kajibu.
Ofcoz bado tunadunda mtaani na warembo tunawakula kama kawa maana ni watamu balaaaPole sana mkuu Hilo tunda la katikati ni noma HIV sio mwisho wa maisha....
Itakusaidia nini? Huoni aubu kujivunia uzinzi na ukahaba? Yaani unatamba kabisa unasambaza UKIMWI na Moderator wa JF wanakuacha tu?Ofcoz bado tunadunda mtaani na warembo tunawakula kama kawa maana ni watamu balaaa
Aise sasa nyie mnaojivunia akili mbona sioni la maana mnalofanya hapa duniani?Itakusaidia nini? Huoni aubu kujivunia uzinzi na ukahaba? Yaani unatamba kabisa unasambaza UKIMWI na Moderator wa JF wanakuacha tu?
Sio kweli, ingekuwa kupunguza machungu using andika si chini ya mara 1. Acha uzinzi dogo, hakujawahi kuwa na ushindi katika uzinzi. Hakuna mtu aliyewahi pewa taji la ushindi wa ngono. Pia acha kusambaza UKIMWI kwani hakuna mtu aliyekutuma ukahangaike hadi uupate. Please Moderator kwanini mnaachia comments za mtu kusema anausambaza UKIMWI kwa makusudi?Aise sasa nyie mnaojivunia akili mbona sioni la maana mnalofanya hapa duniani?
Alafu mnajua hii ni cyberspace anything goes usije chukulia vitu serious wengine tu apu guza mavhungu ya kukosa kazi japo tupo na masterz zetu.
Ah kumbe u r my number one fan...very well wee fuatilia comments zangu mzeya. Sasa kwani wee watu tunafanya ngono ili kushinda taji au kuburudisha nafsi? Kila mtu na starehe yake bwana sie maskini starehe yetu ngono...hayo mamabo sijui ya cinema sijui vacation wengine hela hatunaSio kweli, ingekuwa kupunguza machungu using andika si chini ya mara 1. Acha uzinzi dogo, hakujawahi kuwa na ushindi katika uzinzi. Hakuna mtu aliyewahi pewa taji la ushindi wa ngono. Pia acha kusambaza UKIMWI kwani hakuna mtu aliyekutuma ukahangaike hadi uupate. Please Moderator kwanini mnaachia comments za mtu kusema anausambaza UKIMWI kwa makusudi?
Aseeee jombaa una guts!siwezi pasahau maana hiv niliokotea hotel hii
Guts gani kwani hiv nayo ni ya kuogopa kusema jamani sii ugonjwa kama mafua tuu. Watu wanadunda miaka 17 nao na shughuli zinaendelea.Aseeee jombaa una guts!
Duhhh! Aiseeehhh!Guts gani kwani hiv nayo ni ya kuogopa kusema jamani sii ugonjwa kama mafua tuu. Watu wanadunda miaka 17 nao na shughuli zinaendelea.
Bwana ogopa kisukari hiyo ndio balaaaa kabisa maana ata kugegeda inakuwa changamoto. Hiv unagegeda kwa raha zako sasa kuna shida gani
Huo ugonjwa ni noma mwanaume unadinda kichwa tu cha mb....o illa inakua legelegeGuts gani kwani hiv nayo ni ya kuogopa kusema jamani sii ugonjwa kama mafua tuu. Watu wanadunda miaka 17 nao na shughuli zinaendelea.
Bwana ogopa kisukari hiyo ndio balaaaa kabisa maana ata kugegeda inakuwa changamoto. Hiv unagegeda kwa raha zako sasa kuna shida gani
Mkuu hao Atlantic Sinza Mapambano waambie nataka nikae hapo mwaka mzima wanifanyie bei ya 10k per day!Tumekua tukiona nyuzi mbali mbali za watu wakisaidiana na kupeana bei elekezi za utelezi na maeneo husika unapopata telezi hizo, sasa mnaonaje tukawa na uzi wa kuelezea maeneo sahihi ya kuchinjia (Lodge)
Hapa tutaweka maeneo tofauti tofauti hapa mjini Dar na bei zake elekezi ili kwa wasiojua wapate mwongozo wa wapi pazuri pa kwenda kufanya unyamaaa.
1) Kitowo Lodge -30,000/-
Hii ipo riverside, oposite na boss kalewa kuna njia inaingia ndani kidooogo. Gharama yake ni 30,000/- maji ya moto yapo ila mpaka uombe wakuwashie. Parking ipo kubwa ila kama unapiga na kutoka paki nje maana unaweza zuiwa na mwenzako.
Wanatabia ya kuweka Biblia vyumbani sijui ni kwa sababu gani [emoji23]. Kama pia huna Mchumba fika pale mida ya saa mbili usiku utaokota toto la kwenda pale pale riverside.
View attachment 2746613
2) UNIVERSAL EXECUTIVE INN
Hii iko kijotonyama/sinza. Zamani ilipokua ofisi (HQ) za wasafi. Hii ni 40,000/- ila uzuri wake ni kwamba ukishaingia ndani ni umejitenga na jamii [emoji4]. Kuko very peaceful na kuna kautulivu flani ivi.
Vitanda vizuri na mapokezi mazuri. Wana Bar yao humo humo ndani (ndogo lakini )
View attachment 2746616
3)Atlantic Lodge 20,000
Hii iko karibu sana na namba mbili. Hii haina mambo Mengi. Ilo mtaani kabisa kwa hio mbinu ya kuingia mmoja mmoja kama hamna magari ni muhimu sana. Ndani pia ni pa kawaida sana hapana amsha amsha zozote.
Kiufupi hii ni chaguo la haraka kama ukikuta namba 2 imejaa.
View attachment 2746625
4)PATAYA GUEST HOUSE (40,000) MIKOCHENI
Hii ina bei sababu ya eneo ila haina maajabu yoyote ila kwa status kama umepata kitoto kinataka status kikiskia mikocheni kinaweza data [emoji23] akiingia ndani ndo anashangaa heee bora sinza. Cha muhimu lengo litimie.
View attachment 2746633
5) Home Alone 30,000 Kinondoni Vijana
Hapa napo pamekaa kimtego sana ila ukishaingia ndani ni Burudani. Pametulia na pana mazingira rafiki (kwa ndani) hapa parking ipo ila sio rafiki sana. Ukiingia wa kwanza omba asiingie mwenzako maana kutoka kwako wewe mpaka yeye amalize [emoji1787]
View attachment 2746649
6)New Langata Lodge (home aloneB) 30,000 American Chips
Hii iko kinondoni American Chips. Hii inabebwa sana na ile Home alone ya kwanza. Hii mara nyingi ukikuta home alone pale juu pamejaa wanakudirect huku. Sio pazuri sanaa na mazingira sio rafiki (nje) kuna kelele kiasi ila ndani panaruhusu game kuchezeka hamna shida.
View attachment 2746648
7)Nefaland Hotel 50,000- 200,000
Hapa unavuna point kama zote [emoji2]. Ukiingia pale ndani mkalishe kwenye kiti afu wewe kaongee na muhudumu [emoji3]. Lipia 50,000 yako alafu mwambie hapa 150,000 tuu sio ghali [emoji2].
Ipo pale Manzese Argentina kituoni kabisa mwendokasi.
Oya hapa ni unyama huduma rafiki sana na pana utulivo uliopitiliza. Hutajutia kabisa.
View attachment 2746655
Kuna mdau kaja inbox na picha za eneo hili. Na anasema yuko hapo mida hii. Kama una swali unaweza muuliza. View attachment 2746768
8)Blue Bird sinza 50,000
Hii nayo nisiseme mengi. Ni hoteli ya kuvunia point. Usipeleke Mal***a. Ushauri, maeneo kama haya peleka binti unaetaka kuvuna point, usipeleke mal**a ni kupoteza rasilimali.
View attachment 2746665
Kwa hisani ya mdau [mention]MENEMENE TEKERI NA PERESI [/mention] uzi unaendelea maeneo haya hapa zaidi [emoji16]
Nipe namba zao hao Friends Lodge nione kama wanaweza kukubali hiyo ya 15k kunipangishia kwa 10k per day kwa mwaka mzima!Izo za kishua kwa wandugu wa kitonga. Kuna friend lodge iko Sinza vatican pale stand ..room 15k kwa 20k .iyo ya 15k haina Tv tu .tv uta angalia kwenu full kiyoyozi pembeni yake ipo nyingine room ni 30k ni wewe tu, zote kaliii zime tulia room safi
Hatari.Kuna MESUMA ya pale makumbusho vyumba vizuri sana na vikubwa.
Kitanda safi kabisa yaani kama kwako.
Nilichukuaga room ya 60k ya chini maana kulikuwa na 80k
But hio 60k mazingira yake niliyapenda sana just imagine huko 80k kutakuwaje by the time ilikuwa 2017.
Sijui Sasa kama vyumba vina ubora ule ule but I was satisfied.
Nilikula mambo usiku kucha nilichukua point zote tatu kwa yule manzi.
The worst aliniachia bonge Moja la UTI [emoji1787] out of all treatment.
Daaah nashukuru Niko OK Leo 2023.
Wa man u 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Huu uzi utaupita wa Man u na ule wa usiku wa manane
Huyo bwege tu, hana UKIMWI wala nini? Ni kakijana kadogo ka hovyo kanachobalehe so kanaona Uzinzi ndio fashion. Kwa mtu mzima hawezi jisifia ngono hata siku 1. Jamaa yupo kwenye 20's huyo. Hana UKIMWI wala Gono. Ni kula kulala tu kwa shemeji yake hapo ila kwa kuwa anapewa pesa za Bando na sister yake ndio anaandika upuuzi humu.Huo ugonjwa ni noma mwanaume unadinda kichwa tu cha mb....o illa inakua legelege
Haya hongera. Hakuna kama wewe kwenye Ngono, wewe ndio wewe. Wewe ni zaidi ya Suleiman, wewe ndio bingwa wa ngono hadi UKIMWI unakuogopa. Yaani Virusi vya UKIMWI vikikuona wewe, vinakimbia vyenyewe na kukuachia ule Mbususu.Ah kumbe u r my number one fan...very well wee fuatilia comments zangu mzeya. Sasa kwani wee watu tunafanya ngono ili kushinda taji au kuburudisha nafsi? Kila mtu na starehe yake bwana sie maskini starehe yetu ngono...hayo mamabo sijui ya cinema sijui vacation wengine hela hatuna