Lodge mwananyamala

Lodge mwananyamala

pinnah

New Member
Joined
Jun 4, 2014
Posts
3
Reaction score
1
Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.
 
Usitumie gharama kwa lodge.
Download app ya utalii inaitwa couch surfing.
Utapata sehemu ya kuishi kwa mtu bila malipo.
(Hii app husaidia watalii wa bajeti ndogo)
 
Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.
Uko tayari Kuibiwa na hata Kupumbuliwa?
 
watakuibia na kukutatua rinda, sogea mpaka Kino, kuna lodge safi za 15k, au Bliss Hotel 20k
 
Habari wadau nahitajika kuwepo dar kwa usiku mmoja na mimi ni mgeni jijini je nawaleza pata lodge maeneo karibu kabisa na mahakama ya ardhi Mwananyamala kwa budget ya shs 20000 kwa usiku mmoja msaada please.
Konochoice Lodge iko Kinondoni ni nadhani tsh 2000 kwa pikipiki kwenda mahakama ya Ardhi
 
Back
Top Bottom