Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

Ni za viwango vizuri boss?.
Viwango vipi unataka kwahiyo bajeti? utapata lodge ya kawaida kwa maisha ya mtanzania.Kukuongezea wigo wa uchaguzi pita pia mitaa ya uhindini fanya kama unaelekea mitaa ya chako ni chako zipo lodge za gharama hiyo self lakin old skul sio mbaya kihivyo kwa matumizi ya mtanzania
 
Wakuu naomba mniambie logde nzuri safi hapo Dodoma mjini kati.bajeti 30k.
OK Mkuu, fika maeneo ya Makole hapo Opposite na CBE zipo za kutosha ujichagulie, unaweza kucheki Waridi Lodge, Simba Lodge , na nyingine za kutosha maeneo hayo.
 
Kwa hiyo bajeti ukikosa kunguni sio dodoma nayoijua
Au utakuwa wa Dar umezoea kuumwa kunguni
 
Kwa hiyo bajeti ukikosa kunguni sio dodoma nayoijua
Au utakuwa wa Dar umezoea kuumwa kunguni
Lodge zote ambazo bei yake ni 30k kwahiyo uhakika wa kunguni upo.una uhakika nalo hili asilimia mia?
 
Back
Top Bottom