Kidawa_hiphop
Senior Member
- Jul 7, 2018
- 184
- 274
- Thread starter
- #21
pamoja bossOK Mkuu, fika maeneo ya Makole hapo Opposite na CBE zipo za kutosha ujichagulie, unaweza kucheki Waridi Lodge, Simba Lodge , na nyingine za kutosha maeneo hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
pamoja bossOK Mkuu, fika maeneo ya Makole hapo Opposite na CBE zipo za kutosha ujichagulie, unaweza kucheki Waridi Lodge, Simba Lodge , na nyingine za kutosha maeneo hayo.
Nilishalala za 50,000 na nikaumwa ku guni huko huko Dodoma, za 30 itakuwajeLodge zote ambazo bei yake ni 30k kwahiyo uhakika wa kunguni upo.una uhakika nalo hili asilimia mia?
Labda harakati zako pia hazikuforce kufanya hivyo!Kwangu ni kitu kigum sana kulala lodge...sijui kwann inanishinda
Sio issue ya harakat....yani nikilala lodge nalala nikiwa macho...siwez lala usingiz ambao nita enjoy....uwa siwi comfortable hata kidogo coz pia ata kuna hotel nyngne nikilala uwa siwi sawa ingawa hotel ni chache ila lodge mara nyng zinanishinda ni mara mia nilale kwenye gari...sijui maybe coz kunakuwaga na vtu vingi sana vinafanyika lodgeLabda harakati zako pia hazikuforce kufanya hivyo!
Hiyo cello sasa. Kuingia mwisho saa kumi jioni!Pale Chamwino ipo State Lodge ulinzi kila kona, kuingia mwisho saa kumi jioni na kutoka mwanzo saa moja na nusu.
Mtafutaji anataka loji yenye usalama mzuri, hiyo ndiyo inamfaa.Hiyo cello sasa. Kuingia mwisho saa kumi jioni!
Maji hayatoki, je, bia zipo? Kama zipo inafaa sana kwani ni mbadala wa maji.Kuna ya 15k iko hapo nzuguni,ila ndio hivyo ina mbu hadi sio poa.wakati mwingine maji hayatoki
Umepata mbegu kwa bei ghali sana. Mbegu hizo hupatikana kwa buku saba au buku kumiNishawahi kulala ya Elfu 25 dom karibu na ITV nikaondoka na kunguni asubuhi