Lodge nzuri Dodoma 30k ndo bajeti

OK Mkuu, fika maeneo ya Makole hapo Opposite na CBE zipo za kutosha ujichagulie, unaweza kucheki Waridi Lodge, Simba Lodge , na nyingine za kutosha maeneo hayo.
pamoja boss
 
Kwangu ni kitu kigum sana kulala lodge...sijui kwann inanishinda
 
Teddy lodge,area a pako vizur gate ,pasaf,barabarani iko karibu ,huduma za chips ,nyamachoma n.k
 
Labda harakati zako pia hazikuforce kufanya hivyo!
Sio issue ya harakat....yani nikilala lodge nalala nikiwa macho...siwez lala usingiz ambao nita enjoy....uwa siwi comfortable hata kidogo coz pia ata kuna hotel nyngne nikilala uwa siwi sawa ingawa hotel ni chache ila lodge mara nyng zinanishinda ni mara mia nilale kwenye gari...sijui maybe coz kunakuwaga na vtu vingi sana vinafanyika lodge
 
Kuna ya 15k iko hapo nzuguni,ila ndio hivyo ina mbu hadi sio poa.wakati mwingine maji hayatoki
 
Mimi nikifika ugenini huwa nachukua guest tu ya 10 au 15 naweka begi, mimi viwanja mpaka asubuhi kisha narudi asubuhi kuoga.
Hapo dodoma nilichukuaga room hapo chako ni chako na guest inaitwa hivyo hivyo pale pembeni kidogo.
Niliinjoi sana mikuku ya kienyeji hapo.
 
Dodoma lodge na guest house ni ghali halafu viwango vya chini, wakati dar unapata lodge ya 20000 ni nzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…