NALIA NGWENA JF-Expert Member Joined Oct 6, 2016 Posts 10,587 Reaction score 13,425 Apr 10, 2023 #41 Kuna gest moja nililala karibu na hiyo parking ya shabiby Kuna madada poa masumbufu sana kila muda yanakugongea mlango na maswali yakijinga jinga tu kumbe yanataka kuwekwa.
Kuna gest moja nililala karibu na hiyo parking ya shabiby Kuna madada poa masumbufu sana kila muda yanakugongea mlango na maswali yakijinga jinga tu kumbe yanataka kuwekwa.
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 88,759 Reaction score 123,368 Apr 10, 2023 #42 Hivi ile guest ya kitambo dawood Bado iko,iko mjini mjini kabisa Vp kama ipo ameirekebisha kwenda na usasa Ova
Hivi ile guest ya kitambo dawood Bado iko,iko mjini mjini kabisa Vp kama ipo ameirekebisha kwenda na usasa Ova
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Apr 10, 2023 #43 Mtumishi wa Bwana89 said: Dodoma lodge na guest house ni ghali halafu viwango vya chini, wakati dar unapata lodge ya 20000 ni nzuri sana Click to expand... Ulichosema ni kweli kabisa Dodoma Hotel ziko overrated sana labda uende Nashera
Mtumishi wa Bwana89 said: Dodoma lodge na guest house ni ghali halafu viwango vya chini, wakati dar unapata lodge ya 20000 ni nzuri sana Click to expand... Ulichosema ni kweli kabisa Dodoma Hotel ziko overrated sana labda uende Nashera
Remmygius JF-Expert Member Joined Jul 19, 2018 Posts 690 Reaction score 480 Apr 10, 2023 #44 Mpaka ya elfu 16 ipo
K Kimla JF-Expert Member Joined Jun 8, 2008 Posts 3,810 Reaction score 6,599 Jul 26, 2024 #45 mlima wa mizeituni said: Dodoma mjini kati nenda KENYA LODGE!! Click to expand... Bei zao zikoje