LODGE NZURI INAUZWA (MIL 170) GOBA NJIA PANDA YA TEGETA "A" KWA NIABA YA BANK
Ina Vyumba Tisa (9) Vyote Self Contained Na Frem Nne (4) Za Biashara
Umiliki: Mkataba Wa Mauziano
Ukubwa Wa Eneo: SQM 810
Imekamata Barabara Kuu Ya Kwenda Tegeta "A"
Umbali: 2 Kilometres Kutoka Goba Road
Maji Safi Na Umeme Vyote Vipo Kwenye Nyumba
Bei : 170 Million (Makadilio)
0675 065906 Mteja piga simu haraka mali haikai hii
Mtu gani ?Kuna mtu atakuja kusema imechakaa.
OfcourseKuna kitu kingine kiko nyuma ya Pazia.
Kwanza Bank wanauza nyumba kwa mnada na pia wanawapaga Kaz Agent wale na wanatangazaga kwa vipaza saut na yale magar yao.
Pili, kwann haifanyi kazi?.
Vitanda godoro na TV vyote viko ndan?.
Au ni Guest House yenye vyumba self bila vitendea kazi?.
Mwisho, Kwa wawekezaji sio mbaya. Ila bei naina ndio iko juu kidogo.
Hapo 100- 120 Million. Ingependeza.
Maana naona nyumba ni ndogo.
Na Marekebisho ya kutosha.
Matajeer wa jf,si unajua wanapenda vitu mng'ao.Mtu gani ?