- Thread starter
- #21
Weka bayanaDuuuh kijana pole
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka bayanaDuuuh kijana pole
Bayana hamna mkuu nimempa pole ya kusema mbeya hamna lodgeWeka bayana
UzunguniMitaa ipi hiyo
Soweto kupo shwari Mkuu?Ukifika Mbeya shukia kituo cha Nanenane then panda bajaj akupelekee mitaa ya soweto, ni elfu 3 tu,kuna lodge inaitwa Decent lodge ipo karibu na pub maarufu ya hope pub, room zao ni elf15 tu, ipo standard sana nilikuwepo huko na nililala hapo last week,town zipo pia ila mbeya mjini kabisa kumepooza sana
Nakazia.Hamna lodge nzuri huko
DesderiaWakuu kwa mwenye ufahamu, naomba kujuzwa Lodge nzuri maeneo ya Mbeya mjini
Soweto kupo shwari Mkuu?
Kwa nini asipande daladala sh 400 mpaka SowetoUkifika Mbeya shukia kituo cha Nanenane then panda bajaj akupelekee mitaa ya soweto, ni elfu 3 tu,kuna lodge inaitwa Decent lodge ipo karibu na pub maarufu ya hope pub, room zao ni elf15 tu, ipo standard sana nilikuwepo huko na nililala hapo last week,town zipo pia ila mbeya mjini kabisa kumepooza sana
Hv unaifaham mbeya unavyosema hamna? George town sae ni yakwako Hillveaw vp desideria na beako he? Acha kutudhalilisha!Hamna lodge nzuri huko
Huko yana kaa ma zwazwaHv unaifaham mbeya unavyosema hamna? George town sae ni yakwako Hillveaw vp desideria na beako he? Acha kutudhalilisha!
We unaishi wapi kusipo na mazwazwaHuko yana kaa ma zwazwa
RussiaWe unaishi wapi kusipo na mazwazwa