Lodge nzuri Mbeya Mjini

Vipi unahitaji na demu
Nina ex wangu ananisumbua nikuletee [emoji20][emoji20][emoji20][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372]
[emoji20][emoji372][emoji372][emoji20][emoji372][emoji20][emoji20][emoji20]
[emoji20][emoji372][emoji372][emoji20][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372]
[emoji20][emoji372][emoji372][emoji20][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372]
[emoji20][emoji20][emoji20][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372][emoji372]
 
Ukifika Mbeya shukia kituo cha Nanenane then panda bajaj akupelekee mitaa ya soweto, ni elfu 3 tu,kuna lodge inaitwa Decent lodge ipo karibu na pub maarufu ya hope pub, room zao ni elf15 tu, ipo standard sana nilikuwepo huko na nililala hapo last week,town zipo pia ila mbeya mjini kabisa kumepooza sana
 
Soweto kupo shwari Mkuu?
 
Lodge ya sugu itakufaa sana sijui inaitwaje iko poa sana clouds walifikia pale msmu wa fiesta

Ngoja akina mwakajonga ,mwakasanga,mwakabashite waje na majibu
 
Kwa nini asipande daladala sh 400 mpaka Soweto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…