Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

Log in account yako ya Bodi ya Mikopo uone kama kuna makosa ya kurekebisha

Tripo9

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2009
Posts
4,357
Reaction score
3,550
Uki log in account yako ya HESLB utaona kama kuna masahihisho yoyote unatakiwa kufanya.

Mfano cheti cha kuzaliwa hakijawa verified Rita watakueleza verify then submit.

Mpaka dakika hii bado hawajawezesha button ya Ku resubmit document uliyokosea wanasema mpaka wiki ya kwanza ya October ndio utaweza Ku resubmit docs zilizokosewa.

Nadhani kwa ambae docs zimetulia anaweza aka log in na asione kitu because hana makosa.
 
Back
Top Bottom