Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

Logic na Reasoning ni sifa adimu kwa watanzania hasa wenye mlengo wa kiushabiki

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Hello JF,

Ni muda sasa nimekuwa nikifuatilia maeneo mawili logic na Reasoning kwa watanzania ni zero, hapa namaanisha watanzania kizazi Cha 1990+ hadi huku 200+, ni aibu sana kwa taifa, sijui nikujifanyisha kisa shibe katika kitumwa, ufuasi, upimbi wa akili, mihemko ya upimbi wa kidini.

Hii nchi kuna kundi kubwa sana la punguani, critical and analytical thinking ni zero zero, the application on Competences ni sifuri, the line of intersection or lane of common understanding among people doesn't exist, facts and data ni allergies za taifa.

Taifa Gani pumbavu kiasi hiki. Why vitu obvious vinapingwa it's total hopeless.

Mkataba wa Bandari ni kipimo cha ignorance and foolishness kwa nchi , viongozi wa serikali na watu wake, na vyombo vya Dola, na Mahakama pia, na Vyombo vyote vya ulinzi na Usalama.

Huu mkataba wa Bandari unalivua nguo taifa unaibisha raia wote.

Ni upumbavu ambao haijapata kutokea nina Imani ya kwamba viongozi wa kisiasa hili ni lao na vyombo vya ulinzi na Usalama nina Imani navyo na Mungu awape nguvu hiohio ambayo iliwafanya mvujishe haya matope ya viongozi.

Inshallah Mungu halali na ni wetu sote na habagui.

Mungu mwenye rehema 🙏🙏🙏
Asante

Wadiz ndio mimi
 
Viongozi wetu wana akili sana tu, ila tamaa ya pesa na ubinafsi wa kujilimbikizia mali ndio wanaonekana reasoning sifuri

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Hata wapingaji nao ni MATOPE TUU! ... badala ya kujadili hoja mara oooh Sultani, ... mara oooh Waarabu! Utafikiri Waarabu ndio wawekezaji wa kwanza nchini! ... TUSISAHAU WAARABU WANAOTUKAMILISHIA BWAWA LA MWALIMU NYERERE!
 
Back
Top Bottom