Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko poa kapige unakuwa Afisa usafirishaji, Km serikalini unakuwa unakadiria madereva Mafuta, kuandikia vibali vya mafuta matengenezo Ya magari unashughulikia, ukiwa unaidea ya Magari unakuwa poa sana.... Hata private unaweza ukawa kampuni ya Usafirishaji
We mtoto umenikimbiaaKasome mkuu halafu hamna wataalam wengi walosoma hiyo course.
Nilitoka pm bahati mbaya nikashindwa kurudi tena.We mtoto umenikimbiaa
Mwanaume nadanganywaa hivihivi!!!!Nilitoka pm bahati mbaya nikashindwa kurudi tena.
Kasome mkuu halafu hamna wataalam wengi walosoma hiyo course.