Tetesi: Logistic&transport mngmt

Tetesi: Logistic&transport mngmt

peterK2

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2017
Posts
293
Reaction score
91
Habari Jf,naomba kujua ii kozi ya logistic and transport management kiundani kidogo kwa anae ijua vizuri
 
Iko poa kapige unakuwa Afisa usafirishaji, Km serikalini unakuwa unakadiria madereva Mafuta, kuandikia vibali vya mafuta matengenezo Ya magari unashughulikia, ukiwa unaidea ya Magari unakuwa poa sana.... Hata private unaweza ukawa kampuni ya Usafirishaji
 
thanks much mkuu[emoji1317]
 
Kasome mkuu halafu hamna wataalam wengi walosoma hiyo course.
 
Back
Top Bottom