Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

Logo, Sticker na Poster za biashara kwa bei ya chini ya 5000/=

alphaMAPHIE

New Member
Joined
Jan 13, 2019
Posts
3
Reaction score
2
Habari wanajamiiforum... mimi naitwa Alpha ninapenda kuwasogezea baadhi ya huduma zangu kwenu leo. ni matumaini yangu wengi watakao soma post hii ni aidha wafanya biashara au wafanya biashara watarajiwa au vyovyote vile.
Ningependa kuwashirikisha baadhi ya huduma zangu ambazo ni pamoja na
1. logo design
2. Sticker and poster design
Add a subheading.png

hizi ni huduma ambazo nimeona nikufikishie kwa leo kama unauhitaji... unaweza ukaacha kutengeneza logo na graphic nyingine kwa bei ya juu na kuungana nasi.

vilevile niko na huduma nyingine ambayo nimeona ni kikwazo kwa vijana wengi wenye ndoto za kumiliki biashara na kutafuta wateja kwa njia ya mtandao.

huduma hii ni WEB development.. mimi na timu yangu tunatengeneza aina zote za website kuanzia wordpress mapaka web App zote... sasa hapa usiwaze zile bei ulizo wai kuskia kwa watu kuhusu matengenezo ya website.... chakufanya wasiliana nasi usikie bei zetu kisha utafanya maamuzi ... sisi au wao.

mwisho kama tayari una website lakini huna trafic pia utapata msahada. hizi ni baadhi ya huduma utakazo pata kwetu ..... kujua zaidi tafadhali wasiliana nasi kwa njia yoyote Text ,Whatsapp, au Call kupitia +255714773046 (0714773046)
 
Bei ya chini ya 5000? Dooh, mnaua hii industry, hata kama unatumia templete but hiyo price haiendani na taaluma
 
Bei ya chini ya 5000? Dooh, mnaua hii industry, hata kama unatumia templete but hiyo price haiendani na taaluma
nooop sio kawaida but nimefanya ivo kwa kipindi hiki and ni njia ya giveaway pia
 
yan giveaway ndo iwe 5000??? na mashaka na ujuz wako
try me... alaf unajua watanzania ukijua kitu kidg tu unataka ufanye very special fivver logo ni kwanzia dola 5 hadi 10... nmefanya kwa 2y sasa leo kufanya nusu bei ndo tatizo... au ulisha tengenezewa logo 150000 ndo maana?
 
Back
Top Bottom