Logo ya apple na dhana potofu

Logo ya apple na dhana potofu

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,261
Reaction score
9,733
715c95dc67f534660510e352c2d2853e.jpg

Steve Jobs akiwa ndani ya logo ya apple.

Nimesoma na kusikia sehemu mbali mbali kuwa logo ya apple lililomegwa, kuwa inaashiria matendo ya kishoga na hasa baada ya CEO wa sasa kujiweka wazi kuwa ni gay.
Lakini katika kusoma vitu mbalimbali nilitaka kujua upande wa pili wa muanzilishi wa kampuni ya apple yani steve jobs, upande wa mabaya yake na huko nikashangaa wanadai kuwa alikuwa anapinga kuwekwa kwenye app store, kitu chochote kinachochea au kuunga mkono ushoga, ngono, siasa n.k
Wao eti ili wanaona kama ni kitu kibaya kama ubaguzi.
Steve hakuruhusu kabisa watengegnezaji wa apps kuweka app zao kwenye store za apple kama zilikuwa na vitu hivyo

"Worryingly, Apple has used its power to shape—and censor—the kind of apps that are available for download. Under Jobs’ leadership, Apple banned apps that featured the following from installation on its devices: gay art, gay travel guides, political cartoons, “sexy photographs” and Congressional candidate pamphlets. Jobs even suggested buying competitors’ products if they wanted to view things which he considered to be morally suspect."

Nikabaki najiuliza kama kweli nembo ya apple inachochea ushoga, ilikuaje muanzilishi wa apple akawa hataki hayo mambo.
 
Back
Top Bottom