Logo ya Apple

Logo ya Apple

IMG_20201228_224055.jpg



Kwa Kiswahili:

"Ni hadithi ya ajabu ya mjini." Janoff anasema kuumwa moja nje ya nembo ya Apple hapo awali kulikuwa na kusudi la vitendo: kiwango. Ukubwa wa kuumwa ulionyesha kuwa umbo hilo lilikuwa tufaha, sio cherry au tunda jingine lolote lisilo na maana. ... Kwa hivyo inawakilisha baa za rangi kwenye skrini, ”Janoff ameelezea.
 
Nilisoma kwenye QUORA tafsiri ya alama hiyo walisema kuwa limemegwa ili kutofautisha na tunda jingine aina ya cherry

Pia nikaja kuona tafsiri nyingine mbaya sana kiasi kwamba kama mtu ana moyo mwepesi anaachana na Apple kabisa

Ila hiyo tafsiri ya Kiswahili hapo juu ina maana ndo ya Google au imetoka wapi, maana... duh[emoji38][emoji2][emoji23]
 
Steve Jobs kwa maneno yake alisema ile logo ina maanisha kuwa everyone should have a single bite of an apple for a taste.......

Yaani kila mtu aonje utamu wa apple.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom