Logo ya Simba v logo ya African Lyon

Logo ya Simba v logo ya African Lyon

kishumbaz

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
1,183
Reaction score
1,619
Mbona kama copy and paste

.
IMG_20200814_153111.jpg
FB_IMG_15974081035504410.jpg
 
African Lyon logo yao ni nzuri sana logo inabidi kuelezea kampuni... mtu akiangalia tu hata kama hajui kusoma atajua kwamba hio ni timu ya mpira tokea tanzania... hio nyingine anaweza kudhani ni kilabu / au mbuga ya wanyama
 
Ya simba iko Ki-Mpesa kwa sababu ndio ngao yao.
African Lyon logo yao ni nzuri sana logo inabidi kuelezea kampuni... mtu akiangalia tu hata kama hajui kusoma atajua kwamba hio ni timu ya mpira tokea tanzania... hio nyingine anaweza kudhani ni kilabu / au mbuga ya wanyama
 
African Lyon logo yao ni nzuri sana logo inabidi kuelezea kampuni... mtu akiangalia tu hata kama hajui kusoma atajua kwamba hio ni timu ya mpira tokea tanzania... hio nyingine anaweza kudhani ni kilabu / au mbuga ya wanyama
Pia inajihusisha na volleyball kama inavoonekana kwenye logo ya African Lyon
 
hawa african lyon mbona siwaelewi? LYON ni jina la mji ufaransa. Lakini lion ( isome kiswahili) kifaransa ni simba. sasa wanajiita jina la mji alafu wanaweka simba

Back
Top Bottom