Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,677
- 45,532
Ist imekushinda???
No,Ist imekushinda???
Oh yeah😉No,
Nataka kubadilisha tu, nina mwaka mmoja nayo...
Nimetokea kukapenda vitz hizi new model....
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahha kausha basii "jenerali"
[emoji87][emoji87][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji119][emoji119][emoji119]Nipe passo uniongeze kidogo kama milion 80 nikuachie Landcruzer LX number DFB...
Ukiwa na gari tayari dharau huwa nyingi ila trust me ukiwa huna gari na ukapata kashkash za usafiri wa mjini hapa. Unaeza kubali uwe hata na hio passo tu aisee. Gari ni essential sana hapa bongo goals by mid 2019 niwe katika chombo kama mungu akiniweka hai.
Hongera. ila nauhakika hata baiskeli hujawahi milikiNipe passo uniongeze kidogo kama milion 80 nikuachie Landcruzer LX number DFB...
HahahaaHahahahha kausha basii "jenerali"
yaaani unataja mpaka unayetaka kumuuzia? akiwa humu si atasanukia dili?
Em niambie basi bei yake,.lol
Ile niliyoitaja mimi siku ilee...
Mgari wako sijui kampun gan ile, afu nishalisahau...Ile niliyoitaja mimi siku ilee...
hahahahhaaHatimaye nimehama chumba kimoja na sasa ninahamia nyumba nitakayokaa chumba kimoja lakini ni mpya hii nyumba wadau ila mtaa ndiyo siujui 😂!,