Loh! Nabadilisha gari sasa!

Loh! Nabadilisha gari sasa!

Ukiwa na gari tayari dharau huwa nyingi ila trust me ukiwa huna gari na ukapata kashkash za usafiri wa mjini hapa. Unaeza kubali uwe hata na hio passo tu aisee. Gari ni essential sana hapa bongo goals by mid 2019 niwe katika chombo kama mungu akiniweka hai.
 
Safi kaka, BT cjazarau kaka, nimekaa na wasukuma sasa matumiz ya ka/li affected
Ukiwa na gari tayari dharau huwa nyingi ila trust me ukiwa huna gari na ukapata kashkash za usafiri wa mjini hapa. Unaeza kubali uwe hata na hio passo tu aisee. Gari ni essential sana hapa bongo goals by mid 2019 niwe katika chombo kama mungu akiniweka hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom