Loh! Nabadilisha gari sasa!

Loh! Nabadilisha gari sasa!

Ngoja basi nikusanye nguvu...
Sawa mama angu,

Gari ni moja ya hitaji la msingi kwa binadam...
Mimi ndoto yangu ya kwanza ilikuwa gari, na nilipo ajiriwa tu, miezi sita nikavuta chuma...

Sijajutia, imenipa network, hela, wachumba [emoji7], na majanga madogomadogoo...

Imenikomazaa.
Ukiweza kumiliki gari na hata kuliuza ni moja ya hatua kubwa uliyopitiaa...

Kila la kheri, keep dreaming.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
🙏🙏🙏
 
Hahha boss nimekusoma fresh sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mama angu,

Gari ni moja ya hitaji la msingi kwa binadam...
Mimi ndoto yangu ya kwanza ilikuwa gari, na nilipo ajiriwa tu, miezi sita nikavuta chuma...

Sijajutia, imenipa network, hela, wachumba [emoji7], na majanga madogomadogoo...

Imenikomazaa.
Ukiweza kumiliki gari na hata kuliuza ni moja ya hatua kubwa uliyopitiaa...

Kila la kheri, keep dreaming.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,

Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,

TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.

Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Gari used kwa bongo zinahitaji umakini otherwise unalia mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu natumia kitoyota passo ambacho nilinunua kwa mtu, ila sasa nataman kubadili baada ya kufanikisha kuuza hili la sasa,

Natamani lutumia gari ndogo vilevile aina ya Toyota IST,

TOYITA IST sijui kwann naipenda, jaman kama zile 2005 model nazizimia sana.

Nahitaji hata kwa mtu, maana hii gari dukan/mpya sintaiweza. Asateni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tafuta GARI ZA KIUME,,wacha kung'ang'ania BABY WALKER,,, hivyo waachie wale wenzetu....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwa na gari tayari dharau huwa nyingi ila trust me ukiwa huna gari na ukapata kashkash za usafiri wa mjini hapa. Unaeza kubali uwe hata na hio passo tu aisee. Gari ni essential sana hapa bongo goals by mid 2019 niwe katika chombo kama mungu akiniweka hai.
Gari sasa hivi sio luxury bali ni chombo cha muhimu sana.
 
Back
Top Bottom