Gyole
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 7,008
- 7,059
Miezi 6 duu, siku ingine tafuta wakiliMkuu nilipigwa mvua ya miezi 6
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi 6 duu, siku ingine tafuta wakiliMkuu nilipigwa mvua ya miezi 6
Niko tayari mkuu tena buuureUnaonaje ukiniwakilisha mkuu!
Hongera sana. Ulipata stahiki yako.Mkuu Mgibeon nilikuwa segerea ya Jf nilipigwa ban ya kufa mtu
Mahabusu bado haijakusaidia kurekebisha tabia yako. Staha ni kitu cha bure lakini kina thamani kubwa kuliko.Nikweli kabisa mr rambaramba
Mkuu nashukuru sana nipo hapa Eden Pub Igoma mwanza najipongeza,hongereni nasikia siku hizi biashara ya watu imezidi kushamili mtu ananunuliwa kwa mshahara wa mwezi na gari toyota v8Pole mkuu. Hukua na simu kule ? Tumekumiss sana. Fly over umeziona ? Airport ulichungulia ukaona madege kama ya Emirates ?
Shamba la Segerea liko wapi ? Nasikia hata manyapara wanalima huko. Beer zimepungua bei tukutane wapi nikupe 2 ?
Jokate ni mkuu wa wilaya kisaraweTeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeeh Teeeeeeeeeh asife moyo maana sasa nimeingia kwa syle ya kiwanda
Wananunuliwa kwa kipande cha sarafuVipi mkuu nipe taarifa kamili nasikia watu wanahama toka majumbani mwao na kuhamia mitaa ya lumumba ili kuunga mkono juhudi za ujenzi wa viwanda?