Lokole yamekukuta

Tumia google vizuri mkuu,insta nzuri sio kama fb mpaka ujiunge ndo uone kilichomo. Kupitia google naweza pata picha yoyote insta bila kuscreenshot,naweza copy content yoyote kawaida kabisa
Duh!!! Kazi kweli kweli na mambo ya Instagram unayajua yote mpaka kina mange kina east walichopost huko lakini huna account duh najionea tabuuuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sasa patamu, mbwembwe zote zitaisha, eti anapapasa mimba yake na kusema "thanks sweet hdarlinga" ili kumuumiza mzazi mwenzie, haya sasa avujishe clip za huyu mumewe kama yeye hodari sana.
 
Saiv hawezi,kwisha jeuri yake

Maskini na aliekuwa anamringishia MUNGU kampenda zaidi, so sad kwa watoto maana alikuwa anatumia nguvu kubwa kuonesha uma jinsi Mume anavypenda watoto wa kambo.
 
Mastaa wetu wana maisha ya kawaida na magumu kama sie ila sasa wao wanayaongezea ugumu zaidi kwa maigizo ili waonekane wa kipekee. Cheki huyu dada mkombozi kaondoka,mbwembwe kwisha,birthday zinapita kimya kimya hakuna cha milion nne hotel zenji wala movie iliyotangazwa kwa madoido
Maskini na aliekuwa anamringishia MUNGU kampenda zaidi, so sad kwa watoto maana alikuwa anatumia nguvu kubwa kuonesha uma jinsi Mume anavypenda watoto wa kambo.
 
Sad, nawaonea sana huruma watoto waliaminishwa maisha ni fedha now sijui itakuwaje, nadahani hata ile safari ya USA alijitutumua ili amfurahishe mume, dah! kuna janga linaweza kukuta ujute kuzaliwa, na alivyokuwa anajishebedua na KING S.. wake eti "mwanangu kua niongeze mwingine, napenda kuzaa", kama mfadhili kasepa na MUME kawa macho juu, mbona domo limemponza.
 
WARUMI upo vzur sana katka sekta hii ya udaku, njoo nikuuzia ac yangu ya insta kwa bei chee ina 15k, uendlee kuikuza baada ya mda uanze kupiga pesa za matangazo

Write your reply...
Duh..15k mbona ndgo,nna 215k na sjapost toka mwaka jana katikati

Sent using Brain
 
So sad kwa kweli hope ada haitakata ili waendelee na ile shule ya wenye nazo. Kile kipindi alikua anachezea child support na pesa za kwenye magrup ya wonder women. Saiv vyote vimekata sidhan kama atakumbuka ya mdogo wake S
 
Ana wakati mgumu sana, bora asingekuwa na mashauzi angeishi poa tu ila kujikweza kwake kutamgarimu.
 
So sad kwa kweli hope ada haitakata ili waendelee na ile shule ya wenye nazo. Kile kipindi alikua anachezea child support na pesa za kwenye magrup ya wonder women. Saiv vyote vimekata sidhan kama atakumbuka ya mdogo wake S
Ila km ile nyumba ni yake basi ako na nafuu kidogo maana angalau pa kuishi kwa uhakika anapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan hd huruma.
Sema khs watoto watakamata mahela ya mirathi labda hlf na kwao baba yao ndio hivyo wa kishua wanaweza kuwa wanatoa support kubwa maana ht bibi yao alikuwa anashukru angalau kuachiwa wajukuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…