snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,065
- 24,559
kabisa!Pale ni mtu mmoja anayejiandikia kwa mkono wa kulia na kujijibu kwa mkono wa kushoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa!Pale ni mtu mmoja anayejiandikia kwa mkono wa kulia na kujijibu kwa mkono wa kushoto
Sijakupata bado mkuu.Pale ni mtu mmoja anayejiandikia kwa mkono wa kulia na kujijibu kwa mkono wa kushoto
Sijakupata bado mkuu.
Mmh mambo mengi kweli kweli, hv Numbisa huu ugomvi ulianzaje?
Yaan tabu tupu, mi mwenzenu ht sielewi sakata limeanzajeKatika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio east[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili tunaiita kungata na kupuliza
Yaan ht mm natamani kujua imekuwaje?
Mmh mambo mengi kweli kweli, hv Numbisa huu ugomvi ulianzaje?
Maana jana naingia insta nakutana na makombora tu hata sielewi chanzo. Yaan from ya Juma lokole mpk kwa Mange, pugi na huyo original East[emoji12]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmmmmh pagumu hapo, ila hiyo akaunti huwa ni ya Mange bhanaSakata limeanza east kumsunta sangoma pugi,mange kaingia kati kumtetea pugi huku akidai east ni stella. Haiingii akilini kwa uadui wa mange na stella eti stella amkopy mange muandiko mara ni follower tangu uturn mara amuite mange dada . aiseee ni sawa na mtu kusema numby ni tununu
IG mnajuaje mwandiko wa mtu wakati hawatumii peni au penseli???Katika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio east[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili tunaiita kungata na kupuliza
Anhaaaa kumbe ndio ilivyokuwa, ila hiyo original East huwa ni ya mange kbs. Siamini km sio yy.Mange aliona ya lokole hayajakiki akajihack kwenye account ya east. Mara mange akamsahau lokole akaanza kusema east kajihack. East kaibuka na fekero akajibu anashughulikia account yake,vuuuum jana account ikarudi akisema pugi ndio kawalipa hacker waifute kabisa account yake. Mdandia kiki huyooo akajibaraguza kumtaja stella ndio east. Wananzengo wamegoma kuamini
Watupe wa mwalibwwtu kwanza huo mwingine hauna mashikoYaan ht mm natamani kujua imekuwaje?
Ugomvi wa mwisho ulikuwa wa Lokole mara ghafla tena original East
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama niivo imekuwaje watopautiane kama wote walikuwa wanampenda pugiAnhaaaa kumbe ndio ilivyokuwa, ila hiyo original East huwa ni ya mange kbs. Siamini km sio yy.
Haiwezekani hd miandiko ifanane, hlf haiwezekani Mange akimchukia mtu na the original East nae amchukie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anhaaaa kumbe ndio ilivyokuwa, ila hiyo original East huwa ni ya mange kbs. Siamini km sio yy.
Haiwezekani hd miandiko ifanane, hlf haiwezekani Mange akimchukia mtu na the original East nae amchukie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mji ushakua mzito hakii[emoji23][emoji23][emoji23] . Yule dada wa taifa alomwacha mzazi mwenzie kwa mbwembwe zotee akaenda kuolewaa na shemeji asomaneno mengi yamemkuta mazitooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Bwana kazaa njee afu kahamia kwa kwa mchepuko mazimaaa! Unaambiwa dada anahaha hatarii afu majibu anayopewaa ni haya (kama unaumia nikupe talaka uendee) [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mi huku namuonea huruma dada maana naona kama malipo ya instagram ndio yamewadia upande wakee[emoji849][emoji849]