Lokole yamekukuta

Lokole yamekukuta

Katika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas mange😂😂😂😂😂😂😂 anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajitetea😂😂😂😂😂😂😂😂 cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio east😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 waswahili tunaiita kungata na kupuliza
 
Katika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio east[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili tunaiita kungata na kupuliza
Yaan tabu tupu, mi mwenzenu ht sielewi sakata limeanzaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange aliona ya lokole hayajakiki akajihack kwenye account ya east. Mara mange akamsahau lokole akaanza kusema east kajihack. East kaibuka na fekero akajibu anashughulikia account yake,vuuuum jana account ikarudi akisema pugi ndio kawalipa hacker waifute kabisa account yake. Mdandia kiki huyooo akajibaraguza kumtaja stella ndio east. Wananzengo wamegoma kuamini
Mmh mambo mengi kweli kweli, hv Numbisa huu ugomvi ulianzaje?
Maana jana naingia insta nakutana na makombora tu hata sielewi chanzo. Yaan from ya Juma lokole mpk kwa Mange, pugi na huyo original East[emoji12]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakata limeanza east kumsunta sangoma pugi,mange kaingia kati kumtetea pugi huku akidai east ni stella. Haiingii akilini kwa uadui wa mange na stella eti stella amkopy mange muandiko mara ni follower tangu uturn mara amuite mange dada . aiseee ni sawa na mtu kusema numby ni tununu
Yaan tabu tupu, mi mwenzenu ht sielewi sakata limeanzaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sakata limeanza east kumsunta sangoma pugi,mange kaingia kati kumtetea pugi huku akidai east ni stella. Haiingii akilini kwa uadui wa mange na stella eti stella amkopy mange muandiko mara ni follower tangu uturn mara amuite mange dada . aiseee ni sawa na mtu kusema numby ni tununu
Mmmmmmmh pagumu hapo, ila hiyo akaunti huwa ni ya Mange bhana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kitu ninakijua hapa duniani ni kumaster hati ya mwandiko wa mtu, katika dunia hii hakuna mtu anaefanana mwandiko na mwingine unless ucopy na kupest kama ilivyo sas mange[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] anajiandikisha mwenyew kwenye account original na fake moja anachamba moja anajitetea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cha kujiuliza tuu urafiki wa mange na chagga umeanza lini mpaka leo amtaje yule ndio east[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] waswahili tunaiita kungata na kupuliza
IG mnajuaje mwandiko wa mtu wakati hawatumii peni au penseli???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mange aliona ya lokole hayajakiki akajihack kwenye account ya east. Mara mange akamsahau lokole akaanza kusema east kajihack. East kaibuka na fekero akajibu anashughulikia account yake,vuuuum jana account ikarudi akisema pugi ndio kawalipa hacker waifute kabisa account yake. Mdandia kiki huyooo akajibaraguza kumtaja stella ndio east. Wananzengo wamegoma kuamini
Anhaaaa kumbe ndio ilivyokuwa, ila hiyo original East huwa ni ya mange kbs. Siamini km sio yy.
Haiwezekani hd miandiko ifanane, hlf haiwezekani Mange akimchukia mtu na the original East nae amchukie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeona ee halafu wote anaowachukia mange chagga hana muda nao na pia chaga hana muandiko kama wa mange
Anhaaaa kumbe ndio ilivyokuwa, ila hiyo original East huwa ni ya mange kbs. Siamini km sio yy.
Haiwezekani hd miandiko ifanane, hlf haiwezekani Mange akimchukia mtu na the original East nae amchukie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mji ushakua mzito hakii😂😂😂 . Yule dada wa taifa alomwacha mzazi mwenzie kwa mbwembwe zotee akaenda kuolewaa na shemeji asomaneno mengi yamemkuta mazitooooooooo😂😂😂😂😂 . Bwana kazaa njee afu kahamia kwa kwa mchepuko mazimaaa! Unaambiwa dada anahaha hatarii afu majibu anayopewaa ni haya (kama unaumia nikupe talaka uendee) 😭😭😭😭mi huku namuonea huruma dada maana naona kama malipo ya instagram ndio yamewadia upande wakee🙄🙄
 
Numbisa ww ndio katibu wa umbea nin mbona caption zenu zinafanana?,sema hata kama ni ww bado siwezi kukufahamu
Mji ushakua mzito hakii[emoji23][emoji23][emoji23] . Yule dada wa taifa alomwacha mzazi mwenzie kwa mbwembwe zotee akaenda kuolewaa na shemeji asomaneno mengi yamemkuta mazitooooooooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] . Bwana kazaa njee afu kahamia kwa kwa mchepuko mazimaaa! Unaambiwa dada anahaha hatarii afu majibu anayopewaa ni haya (kama unaumia nikupe talaka uendee) [emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]mi huku namuonea huruma dada maana naona kama malipo ya instagram ndio yamewadia upande wakee[emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom