Lokole yamekukuta

Lokole yamekukuta

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mwali wangu yamemmkuta mazito Jana.

Hivi sijui sura yake ataiweka wapi maskini, hadi shoga zake akina Mama Dangote wamemkana amewatia aibu, tatizo mwali na ewe umezidi mdomo mno, kwani unadhani watu hawajui uchafu wa mastaa wengi hapa mjini?

Wenzio wanajiheshimu ndio maana na wao mambo yao yanastiliwa, sasa ndugu yangu na Mimi kujifanya mdomo juu juu kama side mirror ya Suzuki umeenda kumchokonoa FBI wa umbea na yamekukuta, najua unajifanya you don't care ila deep down umefedheheka sana, maana hata wale mastaa uliokua unakaa nao karibu watakukwepa kuogopa scandal.

Dah eti kabisa unasifia dyudyu, ndio wanazengo tunajua vizur habar zako, ila siku zote unaambiwa bora tetesi kuliko mtu aje na ushahidi, yan duh umeaibika kwa kweli hata ujifanye you don't care.

Kwenye voice ya Hamisa ulivyokua unashupalia leo yamekukuta ama kweli Mungu sio Athman, kama namuona Hamisa anavyo sip champagne akikucheka, maana domo alikuonjesha tu Mwanamwali na wewe ukajikuta zari, teh the loh


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
WARUMI upo vzur sana katka sekta hii ya udaku, njoo nikuuzia ac yangu ya insta kwa bei chee ina 15k, uendlee kuikuza baada ya mda uanze kupiga pesa za matangazo

Write your reply...

Njoo inbox


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom