Nikajua labda siredi inamuhusu lokua kanza mwanamziki bora toka Congo wa miaka ishirini iliyopita.
Ukitaka kumjua zaidi huyu mkali nenda kagoogle ngoma zake kama Mutoto, Miye na we akiwapa kolabo Africando, Nakozonga na Kali zaidi ya never lose your soul...pia juste un per de amor. Bahati saana almost nyimbo zote zina kakiswahili ndani yake.