lol....kumbe mkishaolewaga ndo mnakuwaga hivyo

jamani kaka unapatikana wapi?
na mm naitaji maombezi yako
nakuhakikishia nikipata mume sitakukimbia
cz maombi yako ndo yamenipatia mume
plz naomba untekelezee hii kitu.
 
anakua busy .............hayo yanaitwa majukumu .com
 
jamani kaka unapatikana wapi?
na mm naitaji maombezi yako
nakuhakikishia nikipata mume sitakukimbia
cz maombi yako ndo yamenipatia mume
plz naomba untekelezee hii kitu.
Mbona nipo_just PM me,...ila kumbuka kujiandaa sadaka na fungu la kumi plz
 

mpendwa,

nashukuru sana kwa kunikumbuka. mimi sijambo na naendelea vyema na majukumu yangu.

ni kweli nimepotea kidogo jamvini, nimekamatwa kidogo na mambo fulanifulani lakini sio sana kivile. kuhusu kuolewa, bado sijaolewa wapendwa ila niko katika kukamilishakamilisha mipangilio ya mambo. Mungu akipenda, basi shughuli itakuwa mwanzoni mwa january 2012, so ondoeni hofu za "kupigwa ban" kwa sasa na tuzidi kumuomba Mungu.

naomba nikutie moyo mpendwa, kamwe usiache wala kuchoka kuwaombea wengine, wewe timiza jukumu lako katika maombi na saburi lakini vita ni vyake Bwana mwenyewe.

baraka za Bwana ziambatane na wewe siku zote za maisha yako, nawe uliitie jina la Bwana mchana na usiku bila kuchoka.

ubarikiwe sana mpendwa

Glory to God!!

tukimaliza kazi, tutavikwa taji
tutaimba wimbo mpya,
na wimbo wa Mwana Kondoo!!
 
orait....ombi ni hivi.....kuna mtu namdai sasa ananizengua kulipa....naomba uniombee nipate nguvu ili nisichukue muda mrefu kumrestisha in peace....majibu yasichelewe tafadhali.....
Haki ya nani PRETA umeichekesha sana mamito lol!
Kwan haya maombi yanaelekezwa kwa nani hope ana speed kali ya kujibu,
Poa ukifanikiwa nijulishe nami nina mden ananisumbua nimkabizishe kwa NewDawnTz lol!
 


Ahsante kwa taarifa za kujitosheleza.....haya maubusara na mahekima yalipoteaga atiii

Pia samahani kwa kujua tayari maana last post yako ilikuwa imesheheni nikajua tayari pilau limeliwa

Anyway, mimi pamoja na familia yangu tunakuombea Mungu akukumbuke katika majukumu yako na pia katika maandalizi yako akikuandalia maisha ya ndoa safi na yenye raha.......karibu sana kwenye maisha haya ya pekee ya ndoa itakapofika January 2012
 
Haki ya nani PRETA umeichekesha sana mamito lol!
Kwan haya maombi yanaelekezwa kwa nani hope ana speed kali ya kujibu,
Poa ukifanikiwa nijulishe nami nina mden ananisumbua nimkabizishe kwa NewDawnTz lol!


Tatizo la Preta mgumu kutoa ushuhuda baada ya kutendewa......sijui hajasoma communication skills kujua nguvu ya feedback?

ananiharibia sana mwenzake kwa kuwa ushuhuda wake utanivutia na waumini wapya wa huduma yangu ya maombi kama wewe....

We Preta hobu toa ushuhuda basi mamie ili watu waamini, lol...si unajua watu wanashingo ngumu na imani haba kama Thomaso hadi washike ndio waamini?

Wako muombaji wa kimataifa, Braza NDT
 

asante sana mpendwa.

nimefarijika sana kwa post yako hii na ninayakaribia hayo "maisha ya ndoa safi na yenye raha" kwa ujasiri mkubwa.

Mwenyezi Mungu aliyetuita katika tumaini la uzima ulio katika Kristo Yesu na afanyike mwangaza wa maisha yako na baraka kwa familia yako kwa ajili ya utukufu wake mwenyewe, amina.

Glory to God!

tunadhihirishwa kwamba sisi ni barua yake Kristo
iliyoandikwa si kwa wino bali kwa Roho wa Mungu aliye hai,
si katika vibao vya mawe bali katika mioyo ya nyama!!
 
hapo ni kweli mkuu si unaona hata bebii ametangaza tenda ila baadaye akasema akimpata hatarudi humu tena ila sio mbaya tunawatakia kila la heri
 
msimuhukumu vibaya yawezekana mme wake amembana........mbona nyinyi wake zenu mliokutana nao baa ck hizi mnawapiga bit wasiende tena baa.nae kapigwa biti asirudi tena JF kwani alichokuwa akikitafuta amekipata.sasa zaidi nn?
 
hapo ni kweli mkuu si unaona hata bebii ametangaza tenda ila baadaye akasema akimpata hatarudi humu tena ila sio mbaya tunawatakia kila la heri

msimuhukumu vibaya yawezekana mme wake amembana........mbona nyinyi wake zenu mliokutana nao baa ck hizi mnawapiga bit wasiende tena baa.nae kapigwa biti asirudi tena JF kwani alichokuwa akikitafuta amekipata.sasa zaidi nn?

hana shida kwa sasa

wapendwa,

muwe mnasoma post zote kabla hamjachangia.

mbarikiwe na Bwana.

Glory toGod!1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…