IGWE
JF-Expert Member
- Feb 3, 2011
- 9,578
- 7,774
Tanguliza sasdaka kwanza,...nije nifanyiwe maombi? Am serious!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanguliza sasdaka kwanza,...nije nifanyiwe maombi? Am serious!
mbona huyu dada mmemuombea amepata mchumba!Weye ombewagwa tu usisake nahela uone kama yatakushukia kama mvua!
Mbona nipo_just PM me,...ila kumbuka kujiandaa sadaka na fungu la kumi plzjamani kaka unapatikana wapi?
na mm naitaji maombezi yako
nakuhakikishia nikipata mume sitakukimbia
cz maombi yako ndo yamenipatia mume
plz naomba untekelezee hii kitu.
Mbona nipo_just PM me,...ila kumbuka kujiandaa sadaka na fungu la kumi plz
Pamoja na mbegu ya kupanda ili izae matunda mema.sawa_lakn ukumbuke kuja na sadaka pamoja na fungu la kumi plz
Pamoja na mbegu ya kupanda ili izae matunda mema.[/QUO
mbegu gani tena nnamashaka na hii????????????????????????
Dada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani
Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo yangekuwa swadakta
Napata hofu ya kuombeaga wengine maana nahisi mkishaolewa mtatupoteaga jukwaani
hahhhahaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.....................kweli JF mwisho wa mattzoJamani labda bado yuko honeymoon.............. tumuombee arudi salama...🙂
Haki ya nani PRETA umeichekesha sana mamito lol!orait....ombi ni hivi.....kuna mtu namdai sasa ananizengua kulipa....naomba uniombee nipate nguvu ili nisichukue muda mrefu kumrestisha in peace....majibu yasichelewe tafadhali.....
mpendwa,
nashukuru sana kwa kunikumbuka. mimi sijambo na naendelea vyema na majukumu yangu.
ni kweli nimepotea kidogo jamvini, nimekamatwa kidogo na mambo fulanifulani lakini sio sana kivile. kuhusu kuolewa, bado sijaolewa wapendwa ila niko katika kukamilishakamilisha mipangilio ya mambo. Mungu akipenda, basi shughuli itakuwa mwanzoni mwa january 2012, so ondoeni hofu za "kupigwa ban" kwa sasa na tuzidi kumuomba Mungu.
naomba nikutie moyo mpendwa, kamwe usiache wala kuchoka kuwaombea wengine, wewe timiza jukumu lako katika maombi na saburi lakini vita ni vyake Bwana mwenyewe.
baraka za Bwana ziambatane na wewe siku zote za maisha yako, nawe uliitie jina la Bwana mchana na usiku bila kuchoka.
ubarikiwe sana mpendwa
Glory to God!!
tukimaliza kazi, tutavikwa taji
tutaimba wimbo mpya,
na wimbo wa Mwana Kondoo!!
Haki ya nani PRETA umeichekesha sana mamito lol!
Kwan haya maombi yanaelekezwa kwa nani hope ana speed kali ya kujibu,
Poa ukifanikiwa nijulishe nami nina mden ananisumbua nimkabizishe kwa NewDawnTz lol!
Ahsante kwa taarifa za kujitosheleza.....haya maubusara na mahekima yalipoteaga atiii
Pia samahani kwa kujua tayari maana last post yako ilikuwa imesheheni nikajua tayari pilau limeliwa
Anyway, mimi pamoja na familia yangu tunakuombea Mungu akukumbuke katika majukumu yako na pia katika maandalizi yako akikuandalia maisha ya ndoa safi na yenye raha.......karibu sana kwenye maisha haya ya pekee ya ndoa itakapofika January 2012
Mimi pia nahitaji maombi!! Na naahidi kutokuwakimbia!!
hapo ni kweli mkuu si unaona hata bebii ametangaza tenda ila baadaye akasema akimpata hatarudi humu tena ila sio mbaya tunawatakia kila la heriDada wa watu masikini aliletaga taarifa tumuombeage aolewe, mimi nikamuomebaga (hope na wengine), akapataga mume na ukawa mwanzo wa kututupa kabisa ...........kapotea jukwaani
Where are you Miss Judith? au ndo umetokaga kivingine? michango yako kama ningejumlisha na ya Ashadii basi mambo yangekuwa swadakta
Napata hofu ya kuombeaga wengine maana nahisi mkishaolewa mtatupoteaga jukwaani
hapo ni kweli mkuu si unaona hata bebii ametangaza tenda ila baadaye akasema akimpata hatarudi humu tena ila sio mbaya tunawatakia kila la heri
msimuhukumu vibaya yawezekana mme wake amembana........mbona nyinyi wake zenu mliokutana nao baa ck hizi mnawapiga bit wasiende tena baa.nae kapigwa biti asirudi tena JF kwani alichokuwa akikitafuta amekipata.sasa zaidi nn?
hana shida kwa sasa