condorezaraisi
JF-Expert Member
- Sep 4, 2011
- 225
- 116
itaku-cost
itaku-cost
Swali la msingi ankwenda na nani. Atupie mabodigadi wa kufa mtu.
pole jamani,ila siku nyingine mng'ang'anie uwe unatoka naye out
LAT itani cost how? yaani nikon very far nimwambie asiende?
pole jamani,ila siku nyingine mng'ang'anie uwe unatoka naye out
anakwenda na rafiki yake walisoma chuo ndo alivyonambia
LAT itani cost how? yaani nikon very far nimwambie asiende?
basi imekula kwakeinaonekana jamaa anaona hataweza kuangalia milioni lawama vizuri..
Jamani Niko mbali na mheshimiwa
Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ...
Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you..
ila roho inauma kupita kiasi..
Nawaza sijui nimwambie usiende ....:doh: