London expo set to showcase Kenyan premium tea

21 first century bado mnajivunia kuuza Chai? Tena chai yenyewe ni Muzungu ndo analima. Nchi ya watu zaidi milioni 45 mnajivunia chai ya rangi?
Chai ina upekee gani? Kila mtu anaweza kulima!
Na nyinyi mnajivunia nini isipokuwa airbus kuland hapo JNIA?
 
Kenya haijamtafuta Muzungu usitake kujipa sifa ambayo haipo bali Muzungu amechukua Kenya ardhi kwa nguvu na kuanza kulima kwa kutumia manamba wa Kiafrika tangia karne ya 18 huko!
Tea is not our major foreign currency exchange earner (pengine hata hujui hiyo ni nini). Remittances from Kenyans living abroad is now the major foreign currency earner for Kenya. So stop saying that sisi watu weusi tunamtegemea mzungu for foreign currency exchange . In fact Waafrika wanaoishi majuu ndio wanasupport the Kenyan economy. Ni upuuzi kusema contribution ya Mwafrika kwenye uchumi wa Kenya = 0!
 
Funny so you are waiting for your brothers who are bathing some old white men in US for your family support really?

Hivi mtu unaweza kujivunia kama Taifa kupokea kwa wingi pesa za housemaids huko kwa wazungu hahaha you're like Latinos housemaid business around the world, shame
 
Sasa nionyeshe ni wapi nimesema kwamba wakenya ni housemaid halafu nitalala na kondoo sasa hivi 😀😀😀
 
Funny so you are waiting for your brothers who are bathing some old white men in US for your family support really?

Hivi mtu unaweza kujivunia kama Taifa kupokea kwa wingi pesa za housemaids huko kwa wazungu hahaha you're like Latinos housemaid business around the world, shame

FYI, majority of Kenyans abroad are some of the most educated and skilled of African diaspora. If bongolalas fly out as maids,drug mules,porters or at best to flip burgers earning peanuts, Kenyans go with a different mindset which eventually is attested by the over $2billion annual remittances!
 
Yeah you are right and I can see them how they're pieces of work all.
IMG_20180501_191046_381.jpg

Ndugu zenu wanang'olewa marinda kama kawa
 
Do you have an idea of our maize production?

Wacha zako! Maize is a low value crop and no matter how much you produce it won't drastically change the scope of your national outlook apart from feeding the masses.

Shamba la bibi kuzeni mahindi kwa wingi tutanunua! 😀😀
 
Lete stats tuone ukweli.
 
Back
Top Bottom