London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

Tarbush Swahili Dishes African

Kaka ahsante saaana hamna humu restaurants za Waswahili/Wantanzania.

Na hiyo ya hapo juu imefungwa nimeshafika hapo, wapo Upton Lane, East London. 🙏😳
 
Fursa hizi Kwa wajasiriamali
Kaka kama uko serious kweli na uko huku London fungua restaurant ya chakula cha Kiswahili, mimi nimetizama Google yote sijaona. Ndio mwisho nikauliza mtu anaipika na kuuza kwa mtu mmoja mmoja. 🙏🙏
 
London kuna migahawa mingi tu inapika vyakula vya kibongo. Wapo wazungu na wapemba kibao wanaendesha migahawa ya chakula. Bahati mbaya sana, muundo wa vyakula, migahawa na bei vimekaa kitalii zaidi kuliko kiuhalisia wa maisha ya ulaji wa kibongo, hivyo huuzwa kwa bei ghali, huuzwa kwa kufanya order, na taste inaweza isiwe kivileeee.

Jambo lingine ambalo watu wanapaswa kujua ni kuwa, upishi na wapishi kwa zama hizi wamekaa kimataifa zaidi (kuhudumia watu kutoka mataifa tofauti tofauti) hivyo kila siku wanajifunza upishi wa namna tofauti tofauti ili kukidhi haja ya wateja. Mteja akifika tu akimpa order ya chakula basi kinapikwa chap chap. Ni pesa yako tu.

Nadhani mleta mada ameandika hapa for fun tu, hayuko serious na huenda hata London hajawahi kufika.
Kama hutojali tafadhaki? nipati hiyo anuani ya vyakula vya wapemba. Sitaki vya kizungu, na kama vya kipemba isiwe Barking huko nishafika wanauza kwenye vani. Mimi nahitaji restaurants au mtu anayeuza kwa mtu mmoja mmoja. Nitashukuru mnooo 🙏🙏
 
mbona vya kichina vinafanania tu na vyaafrica, ingia uchinani
 
Tumia fursa fungua wewe Sasa unalalama nn na uko London tayari
Sijalalamika mimi labla unalalama wewe??
Mimi nimeuliza kwa sababu nimeshatiza kwenye Google sijaona. Na mwisho nikauliza kama kuna mtu anaepika kwa mtu mmoja mmoja nijuzeni ili niende.
 
Back
Top Bottom