London hakuna Migahawa ya Vyakula vya Kiswahili

Kaka ahsante saaana hamna humu restaurants za Waswahili/Wantanzania.

Na hiyo ya hapo juu imefungwa nimeshafika hapo, wapo Upton Lane, East London. πŸ™πŸ˜³
 
Inamo garden. Ipo kings road, kuna bwashehe mmoja anapika misosi ya kibongo. Wabongo wengi wanamwitaga "Mangi mbuzi"
Kama kweli nipatie anuani aliko mimi niende?? πŸ™πŸ™
 
Fursa hizi Kwa wajasiriamali
Kaka kama uko serious kweli na uko huku London fungua restaurant ya chakula cha Kiswahili, mimi nimetizama Google yote sijaona. Ndio mwisho nikauliza mtu anaipika na kuuza kwa mtu mmoja mmoja. πŸ™πŸ™
 
Kama hutojali tafadhaki? nipati hiyo anuani ya vyakula vya wapemba. Sitaki vya kizungu, na kama vya kipemba isiwe Barking huko nishafika wanauza kwenye vani. Mimi nahitaji restaurants au mtu anayeuza kwa mtu mmoja mmoja. Nitashukuru mnooo πŸ™πŸ™
 
Tumia fursa fungua wewe Sasa unalalama nn na uko London tayari
 
mbona vya kichina vinafanania tu na vyaafrica, ingia uchinani
 
Tumia fursa fungua wewe Sasa unalalama nn na uko London tayari
Sijalalamika mimi labla unalalama wewe??
Mimi nimeuliza kwa sababu nimeshatiza kwenye Google sijaona. Na mwisho nikauliza kama kuna mtu anaepika kwa mtu mmoja mmoja nijuzeni ili niende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…