London Marathon 2018

London Marathon 2018

Kuna Mtanzania mmoja alitoka kushiriki hayo mashindano anaulizwa tatizo ni nini anasema aligundua hana maji mwilini.

Yaani nilishikwa na Hasira sana ni mjinga Kuliko maelezo yaani fikiria watu wameenda kushiriki mbio yeye anasingizia kuwa hakuwa na maji mwili.

Pumbavu sana popote pale Ulipo.
 
Sisi tumekomaa washiriki ambao hawana lolote kazi kwenda kujaza Server kwenye nchi za watu, Hii nchi sijui michezo ililaaniwa na nani.
 
Matokeo ya mbio za wanawake
1Vivian Cheruiyot - Kenya
2Brigid Kisgei - Kenya
3Tadekech Bekele- Ethiopia
4 Mary Keitany - Kenya
 
Eliud Kipchoge kutoka Kenya anaongoza kwa wanaume mpaka sasa
Mary Kaytan kutoka Kenya anaongoza mbio za wanawake
Najuwa nitapata shida kushiriki marathon hapa mjini, ila walete tupige tizi, hata kama ni mara moja kwa mwaka, msisahau pia, haya mashindano yanahusika na ushangashaji wa NGOs, taasisi za afya na ustawi wa jamii..
Its such a shame hatuna, labda Sky Eclat waweza kutuchangamsha kwa hili...
 
Vp mwanariadha wetu Alphonse simbu leo hayupo???
 
Back
Top Bottom