Hongera zakEliud Epchoge kutoka Kenya anaongoza kwa wanaume mpaka sasa
Mary Kaytan kutoka Kenya anaongoza mbio za wanawake
He!!! kwani imeshaanza???Eliud Epchoge kutoka Kenya anaongoza kwa wanaume mpaka sasa
Mary Kaytan kutoka Kenya anaongoza mbio za wanawake
Kenya wanajitahi wabongo wakifika kweny mashindano wanatorokaBado mbio zinaendelea lakini mpaka 10 bora ni Kenya na Ethiopia
Najuwa nitapata shida kushiriki marathon hapa mjini, ila walete tupige tizi, hata kama ni mara moja kwa mwaka, msisahau pia, haya mashindano yanahusika na ushangashaji wa NGOs, taasisi za afya na ustawi wa jamii..Eliud Kipchoge kutoka Kenya anaongoza kwa wanaume mpaka sasa
Mary Kaytan kutoka Kenya anaongoza mbio za wanawake
Kwa waliopo bongo...Yakikua live BBC1
Citizen TV pia wanaonesha live