London Marathon 2018

Suluhisho la wanariadha Wetu ni kwenda kwenye vijiji vya arusha, manyara, kondoa kuchukua vipaji nakwenda kuwaweka huko kenya kwenye kambi za huko
Utashangaa Mzaramo anashiriki Marathon [emoji23] [emoji23]
 
Matokeo ya mbio za wanawake
1Vivian Cheruiyot - Kenya
2Brigid Kisgei - Kenya
3Tadekech Bekele- Ethiopia
4 Mary Keitany - Kenya
Ifike hatua waziri husika awajibishwe nchi ikifanya vibaya kimataifa.
Mbona wenzetu wanaweza.
Why not sisi!!?
 
Mbinu fungu la maandalizi ya Olimpic linatoka
Ifike hatua waziri husika awajibishwe nchi ikifanya vibaya kimataifa.
Mbona wenzetu wanaweza.
Why not sisi!!?
waliwekeza
 
Ule wa...tena hatuuwezi vizuri maana hata kwenye list ya wanaopenda kufanya hatumo!
Ni kheri basi hata tusiwe tunapoteza muda na fedha za walipa kodi kushiriki haya masindano. BTW, tunajiaibisha.
 
Ni kheri basi hata tusiwe tunapoteza muda na fedha za walipa kodi kushiriki haya masindano. BTW, tunajiaibisha.
Kabisa, ila tunatia aibu, kuzungumza wazuri mno, ila kutenda!
Ila zamani mbona tulikuwa kama tuko vizuri?!
What happened?
 
Sisi tumekomaa washiriki ambao hawana lolote kazi kwenda kujaza Server kwenye nchi za watu, Hii nchi sijui michezo ililaaniwa na nani.
Mkuu Mbao za Mawe,ni kwenye jambo gani ambalo kwetu sisi Watanzania huwa tunafanya vyema?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…