London Stock Exchange control over $1trillion worth of Africa’s resources in just five commodities

1 trillion USD from Africa minerals, if you include other resources and money spent buying their products you will find that we are always transfer our hard cash to their account.
 
Natumai mko na mikakati kabambe kupambana na hili janga la waafrika kutafunwa na wazungu.
Ati mko na mikakati, as if Kenya is safe and excluded, nyie ndio mtakuwa mnadanganywa na wanasiasa wenu hamna minerals, wakati mnaibiwa.
 
That report is edited by your fellow goon the real one does not even mention Tanzania
Bring your original report please. Tanzania ni shamba la bibi babaa na wazungu kina Acacia na wengine wanavuna like nobody's business kila uchao huku mmekimya na kuisingizia Kenya kwa mapungufu yenyu.

Huwezi linganisha mineral wealth ya Tanzania to that of Kenya in fact Kenya is a human resource based economy sio kama hiyo yenyu ya kutegemea Tanzanite na dhahabu kuendeleza uchumi wa LDC.
 
Mineral/mining is a paltry 6% of Tz economy
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Natumai mko na mikakati kabambe kupambana na hili janga la waafrika kutafunwa na wazungu.

Ni kuungana pamoja kama waAfrika katika hivi vita vya uchumi. Tunashukuru Magufuli kaanzisha vita hivi.
 
Kuungana kupi kama nyinyi mnawafungia Wakenya mipaka zenu wakati sisi tumewafungulia zetu? Solve your internal differences first to be allowed in the table of Men.
 
I'm talking in Holistic manner. The AU should take a lead on this. Has to set the agenda.
 
Ndio maana nikasema kwanza mtengeneze kwenu ndio wengine waweze kuwasaidia sio kuwa kupe kuwafyonza wengine while contributing nothing in your part.
 
Ukiona unakopeshwa mihela mingi alafu kabla hujajipanga kulipa unakopeshwa tena na mtu huyo huyo,kabla hujalipa deni la pili jamaa anakuletea mazawadi na marupurupu,ujue kuna mahala unaliwa.
 
Ina ashiria confidence yake kwako. Hebu cheki vile miradi yenyu vyuma vimekaza sababu ni kukosa hela hata Baada ya JPM kuzungusha kibakuli hadi SA, na bado hajapata. Unajiuliza ni kwa nini?
 
Bring your original report please. Tanzania ni shamba la bibi babaa na wazungu kina Acacia na wengine wanavuna like nobody's business kila uchao huku mmekimya na kuisingizia Kenya kwa mapungufu yenyu.
Huwezi linganisha mineral wealth ya Tanzania to that of Kenya in fact Kenya is a human resource based economy sio kama hiyo yenyu ya kutegemea Tanzanite na dhahabu kuendeleza uchumi wa LDC.
Endelea kujipea moyo, bongo hatuibiwi tena. We have a patriot president that doesn't entertain those thieves. And they aren't happy, you can read their articles in their magazines.
 
Niliskia hata chama cha CCM linachukua mkopo kutoka kwa Pensions Fund bila kuelezea jinsi watakavyoyumia zile hela na ni vipi watazilipa. Je kuna vile unaweza elezea haya ?
 
Endelea kujipea moyo, bongo hatuibiwi tena. We have a patriot president that doesn't entertain those thieves. And they aren't happy, you can read their articles in their magazines.
Wachana na huyu..anakerwa kwamba JPM amefunga mashimo yote ya wizi wa madini.Sasa hana Jambo la lingine kuwakejeli waTz. Mchana kutwa hoja ilikuwa tu vile Tz inatafunwa na mabepari, sasa hilo halipo tena
 
Back
Top Bottom