That report is edited by your fellow goon the real one does not even mention TanzaniaHiyo ripoti inasema otherwise. Cheki utafiti ulifanywa lini.
Ati mko na mikakati, as if Kenya is safe and excluded, nyie ndio mtakuwa mnadanganywa na wanasiasa wenu hamna minerals, wakati mnaibiwa.Natumai mko na mikakati kabambe kupambana na hili janga la waafrika kutafunwa na wazungu.
Bring your original report please. Tanzania ni shamba la bibi babaa na wazungu kina Acacia na wengine wanavuna like nobody's business kila uchao huku mmekimya na kuisingizia Kenya kwa mapungufu yenyu.That report is edited by your fellow goon the real one does not even mention Tanzania
Huwezi linganisha mineral wealth ya Tanzania to that of Kenya in fact Kenya is a human resource based economy sio kama hiyo yenyu ya kutegemea Tanzanite na dhahabu kuendeleza uchumi wa LDC.Ati mko na mikakati, as if Kenya is safe and excluded, nyie ndio mtakuwa mnadanganywa na wanasiasa wenu hamna minerals, wakati mnaibiwa.

Mineral/mining is a paltry 6% of Tz economyBring your original report please. Tanzania ni shamba la bibi babaa na wazungu kina Acacia na wengine wanavuna like nobody's business kila uchao huku mmekimya na kuisingizia Kenya kwa mapungufu yenyu.
Huwezi linganisha mineral wealth ya Tanzania to that of Kenya in fact Kenya is a human resource based economy sio kama hiyo yenyu ya kutegemea Tanzanite na dhahabu kuendeleza uchumi wa LDC.
Vipi wachina hapo KenyaWewe jamaa tafuta tafsiri ya kiswahili. Acha blah blah. Umeona ardhi ambayo ipo mikononi mwa hao jamaa? Mnatafunwa kama kuku wa kizungu buana.
Natumai mko na mikakati kabambe kupambana na hili janga la waafrika kutafunwa na wazungu.
Kuungana kupi kama nyinyi mnawafungia Wakenya mipaka zenu wakati sisi tumewafungulia zetu? Solve your internal differences first to be allowed in the table of Men.Ni kuungana pamoja kama waAfrika katika hivi vita vya uchumi. Tunashukuru Magufuli kaanzisha vita hivi.
Kuungana kupi kama nyinyi mnawafungia Wakenya mipaka zenu wakati sisi tumewafungulia zetu? Solve your internal differences first to be allowed in the table of Men.
Ndio maana nikasema kwanza mtengeneze kwenu ndio wengine waweze kuwasaidia sio kuwa kupe kuwafyonza wengine while contributing nothing in your part.I'm talking in Holistic manner. The AU should take a lead on this. Has to set the agenda.
Ndio maana nikasema kwanza mtengeneze kwenu ndio wengine waweze kuwasaidia sio kuwa kupe kuwafyonza wengine while contributing nothing in your part.
Ina ashiria confidence yake kwako. Hebu cheki vile miradi yenyu vyuma vimekaza sababu ni kukosa hela hata Baada ya JPM kuzungusha kibakuli hadi SA, na bado hajapata. Unajiuliza ni kwa nini?Ukiona unakopeshwa mihela mingi alafu kabla hujajipanga kulipa unakopeshwa tena na mtu huyo huyo,kabla hujalipa deni la pili jamaa anakuletea mazawadi na marupurupu,ujue kuna mahala unaliwa.
Endelea kujipea moyo, bongo hatuibiwi tena. We have a patriot president that doesn't entertain those thieves. And they aren't happy, you can read their articles in their magazines.Bring your original report please. Tanzania ni shamba la bibi babaa na wazungu kina Acacia na wengine wanavuna like nobody's business kila uchao huku mmekimya na kuisingizia Kenya kwa mapungufu yenyu.
Huwezi linganisha mineral wealth ya Tanzania to that of Kenya in fact Kenya is a human resource based economy sio kama hiyo yenyu ya kutegemea Tanzanite na dhahabu kuendeleza uchumi wa LDC.
Niliskia hata chama cha CCM linachukua mkopo kutoka kwa Pensions Fund bila kuelezea jinsi watakavyoyumia zile hela na ni vipi watazilipa. Je kuna vile unaweza elezea haya ?Endelea kujipea moyo, bongo hatuibiwi tena. We have a patriot president that doesn't entertain those thieves. And they aren't happy, you can read their articles in their magazines.
Wachana na huyu..anakerwa kwamba JPM amefunga mashimo yote ya wizi wa madini.Sasa hana Jambo la lingine kuwakejeli waTz. Mchana kutwa hoja ilikuwa tu vile Tz inatafunwa na mabepari, sasa hilo halipo tenaEndelea kujipea moyo, bongo hatuibiwi tena. We have a patriot president that doesn't entertain those thieves. And they aren't happy, you can read their articles in their magazines.
😀😛😛😀😀😀😀😀😀😀We ni kiboko yaoSo what makes the LDC tic? Anyway it is 6% because much of it is understated while the other huge chunk is looted by foreigners.