Utakuwa mkenya wewe mana huko kwenyu kiswahili ni changamoto.nilikuwa nawazungumzia wazungu wanatupa mikopo ya hela mingi tunashindwa kulipa lakini bado wanatukopesha tena na misaada kwa wingi,utasema wana upendo sana kumbe wanachotupa ni kidogo sana ukilinganisha na kile wanachochokua kutoka kwetu,hususan rasilimali.Ina ashiria confidence yake kwako. Hebu cheki vile miradi yenyu vyuma vimekaza sababu ni kukosa hela hata Baada ya JPM kuzungusha kibakuli hadi SA, na bado hajapata. Unajiuliza ni kwa nini?
😀😛😛😀😀😀😀😀😀😀We ni kiboko yao
Hivi sasa kampuni zinazochimba madini Tz hazijabadilika, ni zile zile zimekuwa zikiwapora. Je JPM ameweka mikakati ipi kuzuia uporaji huo juu sioni vile ukuta utawazuia kina Acacia?Yaani mtu anayejulikana kuwa ni chizi halafu wewe unamshangilia.
Ahaaa haaa haaa
And how r ur pension funds? Any better?Niliskia hata chama cha CCM linachukua mkopo kutoka kwa Pensions Fund bila kuelezea jinsi watakavyoyumia zile hela na ni vipi watazilipa. Je kuna vile unaweza elezea haya ?
Hivi sasa kampuni zinazochimba madini Tz hazijabadilika, ni zile zile zimekuwa zikiwapora. Je JPM ameweka mikakati ipi kuzuia uporaji huo juu sioni vile ukuta utawazuia kina Acacia?
Yeye na wenzake inawezekana wakawa walaji nambari moja wa madini yenyu?
The ones couldn't build Hazina Tower? Peleka ujinga! The ones funding the likes of Mumias sugar n East African portland cement!Much better and are not being exploited by some political party to fund their private lifestyles. So what is CCM using pensions fund for?
Britain's New African Empire — Africa Public Policy Research Institute - APPRI
Companies listed on the London Stock Exchange control over $1trillion worth of Africa’s resources in just five commodities – oil, gold, diamonds, coal and platinum. My research for the NGO, War on Want, which has just been published, reveals that 101 companies, most of them British, control $305billion worth of platinum, $276billion worth of oil and $216billion worth of coal at current market prices. The ‘Scramble for Africa’ is proceeding apace, with the result that African governments have largely handed over their treasure.
Tanzania’s gold, Zambia’s copper, South Africa’s platinum and coal and Botswana’s diamonds are all dominated by London-listed companies. They have mines or mineral licences in 37 African countries and control vast swathes of Africa’s land: their concessions cover a staggering 1.03million square kilometres on the continent. This is over four times the size of the UK and nearly one-twentieth of sub-Saharan Africa’s total land area. China’s resources grabs have been widely vilified but the major foreign takeover of Africa’s natural riches springs from a lot closer to home.
Shamba la bibi ni kina Nani n mbona Tz haikosi kwenye hiki kikundi?
Google who r behind those projectEvidence please?