Long-distance dating: In love, will travel

Long-distance dating: In love, will travel

Everything is possible if you have DETERMINATION, TRUST AND LOVE TO EACH OTHER
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sina tatizo kama kweli mnapendana kwa dhati,
ila hapo kwenye UAMINIFU kwenye mapenzi ya mbali nina mashaka kidogo.

Samahani wana JF wenzangu nawaomba tuwe wakweli katka ,
kujibu hili swali hapa chini,

Upo na MUME/MKE/MCHUMBA/MPENZI muda mwingi,
unampa upendo wote anaotakiwa kupewa ,
lakin bado ANAKUSALITI,
Je hilo penzi la mbali anaweza kuwa mwaminifu kweli 100% kimapenzi????.
Mapenzi utua popote na kwa mtu yoyote lakin je kwa hayo mapenzi ya mbali hayana usaliti kweli???.

Kama mtu sio mwaminifu, haijalishi yuko mbali au yuko na wewe 24 hrs, bado anaweza tu kukusaliti tu. Uaminifu unawezekana kama wapenzi wanakuwa na hofu ya Mungu ndani mwao, maana wanakuwa hawaogopani wao, bali wanamheshimu Mungu na kutii maagizo yake.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom