Sina tatizo kama kweli mnapendana kwa dhati,
ila hapo kwenye UAMINIFU kwenye mapenzi ya mbali nina mashaka kidogo.
Samahani wana JF wenzangu nawaomba tuwe wakweli katka ,
kujibu hili swali hapa chini,
Upo na MUME/MKE/MCHUMBA/MPENZI muda mwingi,
unampa upendo wote anaotakiwa kupewa ,
lakin bado ANAKUSALITI,
Je hilo penzi la mbali anaweza kuwa mwaminifu kweli 100% kimapenzi????.
Mapenzi utua popote na kwa mtu yoyote lakin je kwa hayo mapenzi ya mbali hayana usaliti kweli???.