Long Distance relationship: Twende round ya pili Mpenzi

Long Distance relationship: Twende round ya pili Mpenzi

Ujanani na long distance relationship ya Nini Mimi? uzeeni ndio nimekutana nazo ila hii style sijapewa bado itabidi niiapply myself na bby😁😁😁
Uzeeni hapana aloo🤣🤣ujanani ilinoga zaidi hakyanani!
Kweli tumetoka mbali sana.
 
Na wewe uliupiga mwingi kama mwamba hapo juu?😁
Eeeeh sana tu yani🤣🤣🤣 kipindi hicho mtumishi mtiifu wa chaputa naachaje sasa, babe yupo masafa...long distance r'ship ni kujiumiza tu.
 
Nakuja. Ngoja nikamsikilize profesa Janabi kwanza.
Kweny mahojiano na Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)_ Prof. Mohamed Ja...jpg

 
Back
Top Bottom